Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Nimependa hili wazo ,,,nalibeba
 
Nauza mkorogo [emoji23][emoji23] vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.
Bado unafanya biashara hii?
 
huwa siogopi kumshirikisha mtanzania mawazo yangu maaana najua wengi ni waskilizaji sio watendaji

so nafungukaga tu hata siogopi maana najua wanajua kuitikia wameelewa ila hawataki kuingia ktk utendaji

wengi ni waoga na wachagua fursa.

Duh
 
Hiki ni ngumu sana kupata hiyo faida
 
Madini haya
 
CONTROLA,
Hii biashara kuna jamaa alindokezea majuzi, kuna mwamba ana hivyo vyuma sokoni anakunja 90-100k deile
Niaje wanakwetu, nimeshindwa kufuatilia na kujua ni vyuma gani hivyo anavyozungmzia. Hii ni kutokana huja-quote comment ya Mwamba instead umem-mention tu. Kama utaweza kukumbuka naomba unisaidie kujua huyo anaekunja 90-100k deile anafanya biashara ya vyuma gani?

Natanguliza Shukurani
Extrovert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…