Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good ChampNakumbuka huu uzi niliusoma nikiwa nina mtaji wa elfu 50 leo nimerudi kuusoma nina mtaji wa 10 mil + ..nafukua idea ingine tena Mungu ni mwema sana
ulifny biashara gan had kufk hukNakumbuka huu uzi niliusoma nikiwa nina mtaji wa elfu 50 leo nimerudi kuusoma nina mtaji wa 10 mil + ..nafukua idea ingine tena Mungu ni mwema sana
Matunda ya kukata kata na mazimaulifny biashara gan had kufk huk
Nimependa hili wazo ,,,nalibebaNingependa kujua hii biashara ya kukodisha tents na viti kwa ajili ya shughuli mbalimbali,misiba etc
Gharama za kutengeneza hizo tents ama kama zinauzwa zikiwa tayari zinauzwaje?
Walau ziwe tatu zenye uwezo wa ku- accommodate watu 500 au 400 zote kwa pamoja.
Safi sana mkuu endelea kupambana na uendelee kuonyesha njia kwa wengineNakumbuka huu uzi niliusoma nikiwa nina mtaji wa elfu 50 leo nimerudi kuusoma nina mtaji wa 10 mil + ..nafukua idea ingine tena Mungu ni mwema sana
Bado unafanya biashara hii?Nauza mkorogo [emoji23][emoji23] vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.
Mjini nitaishije?Bado unafanya biashara hii?
[emoji2][emoji2][emoji2]Wasomi ndio maana biashara zinawashinda mna Mambo mengi km unga wa ngano .
Mbona tuliomba utufundishe ukawa kimya je huoni unapoteza income nyingine ya ukufunziMjini nitaishije?
Nasubiri jibu hapa na mimi.Mbona tuliomba utufundishe ukawa kimya je huoni unapoteza income nyingine ya ukufunzi
huwa siogopi kumshirikisha mtanzania mawazo yangu maaana najua wengi ni waskilizaji sio watendaji
so nafungukaga tu hata siogopi maana najua wanajua kuitikia wameelewa ila hawataki kuingia ktk utendaji
wengi ni waoga na wachagua fursa.
Hiki ni ngumu sana kupata hiyo faidaKibanda simple cha kuuza vinywaji naongelea vinywaji kama
Mo energy, azam colla, Twist, mango juice, nk
Maji ya uhai, masafi, vocha (kukwangua na kurusha), kuchajisha simu, sigara, vipombe pombe
Hasa konyagi ya kupima, nk
Hakikisha muuzaji BOSS ni wewe mwenyewe na usiajiri mtu.
Mjini nitaishije?
Na wewe unatengeneza mwenyewe au vinginevyoHamia TikTok
Nauzia wangu TikTok
Wateja ni wengi
Weka tag ya Congo na Mombasa
Wanapenda mikorogo balaa
Na wewe unatengeneza mwenyewe au vinginevyo
Mtu anawezaje kufanya hii from the scratchNauza vipodozi mchanganyiko
So natengeneza per request
Madini hayaKama unataka mtaji wa 30k-50k means kwa mwezi unakusanya 900k-1.5M
Basi jua iyo biashara ni kubwa inahitaji capital ya kuanzia 5M-10M na kuendelea
Kumbuka pikipiki kama boda boda na bajaji zinauzwa bei mkasi sana mfano boda boda 2.5M na wanarejesha kila siku 8000-10,000
Hivyo hivyo Bajaji inauzwa 7M wanarejesha kila siku 15,000-18,000
Uber yaani gari kama IST au tufanye vitz inacost approximatel 9M-13M
Wanarejesha 25k-30k
Hivyo unaweza ukachanganua ulicho nacho mfukoni kwako utaelewa iyo faida ya kila siku 30-50 unahitaji kuweka pesa kiasi gani
Na log out
Asante mamy nitalifanyia kazi 🙏🙏Hamia TikTok
Nauzia wangu TikTok
Wateja ni wengi
Weka tag ya Congo na Mombasa
Wanapenda mikorogo balaa
Niaje wanakwetu, nimeshindwa kufuatilia na kujua ni vyuma gani hivyo anavyozungmzia. Hii ni kutokana huja-quote comment ya Mwamba instead umem-mention tu. Kama utaweza kukumbuka naomba unisaidie kujua huyo anaekunja 90-100k deile anafanya biashara ya vyuma gani?CONTROLA,
Hii biashara kuna jamaa alindokezea majuzi, kuna mwamba ana hivyo vyuma sokoni anakunja 90-100k deile