Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ningependa kujua hii biashara ya kukodisha tents na viti kwa ajili ya shughuli mbalimbali,misiba etc

Gharama za kutengeneza hizo tents ama kama zinauzwa zikiwa tayari zinauzwaje?

Walau ziwe tatu zenye uwezo wa ku- accommodate watu 500 au 400 zote kwa pamoja.
Nimependa hili wazo ,,,nalibeba
 
Nauza mkorogo [emoji23][emoji23] vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.
Bado unafanya biashara hii?
 
huwa siogopi kumshirikisha mtanzania mawazo yangu maaana najua wengi ni waskilizaji sio watendaji

so nafungukaga tu hata siogopi maana najua wanajua kuitikia wameelewa ila hawataki kuingia ktk utendaji

wengi ni waoga na wachagua fursa.

Duh
 
Kibanda simple cha kuuza vinywaji naongelea vinywaji kama

Mo energy, azam colla, Twist, mango juice, nk

Maji ya uhai, masafi, vocha (kukwangua na kurusha), kuchajisha simu, sigara, vipombe pombe

Hasa konyagi ya kupima, nk

Hakikisha muuzaji BOSS ni wewe mwenyewe na usiajiri mtu.
Hiki ni ngumu sana kupata hiyo faida
 
Kama unataka mtaji wa 30k-50k means kwa mwezi unakusanya 900k-1.5M
Basi jua iyo biashara ni kubwa inahitaji capital ya kuanzia 5M-10M na kuendelea

Kumbuka pikipiki kama boda boda na bajaji zinauzwa bei mkasi sana mfano boda boda 2.5M na wanarejesha kila siku 8000-10,000
Hivyo hivyo Bajaji inauzwa 7M wanarejesha kila siku 15,000-18,000

Uber yaani gari kama IST au tufanye vitz inacost approximatel 9M-13M
Wanarejesha 25k-30k

Hivyo unaweza ukachanganua ulicho nacho mfukoni kwako utaelewa iyo faida ya kila siku 30-50 unahitaji kuweka pesa kiasi gani

Na log out
Madini haya
 
CONTROLA,
Hii biashara kuna jamaa alindokezea majuzi, kuna mwamba ana hivyo vyuma sokoni anakunja 90-100k deile
Niaje wanakwetu, nimeshindwa kufuatilia na kujua ni vyuma gani hivyo anavyozungmzia. Hii ni kutokana huja-quote comment ya Mwamba instead umem-mention tu. Kama utaweza kukumbuka naomba unisaidie kujua huyo anaekunja 90-100k deile anafanya biashara ya vyuma gani?

Natanguliza Shukurani
Extrovert
 
Back
Top Bottom