Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Naweza nikapata wapi yeboyebo kwa bei ya jumla
 
Reactions: EEX
Mkuu punguza kukurupuka. Inaonekana una stress sana na kizungu kimekupita kando aiseee povu lote hilo kisa neno all the best daah
Sio lazima U comment au U reply sometimes reply zako huwa zinaonyesha wewe ni Mjivuni na una dharau sana. 😑
 
Mkuu punguza kukurupuka. Inaonekana una stress sana na kizungu kimekupita kando aiseee povu lote hilo kisa neno all the best daah
Sasa nilichokurupuka nini Miss Numbisa ? Hapa watu wanaomba kupeana ushauri na connections za michongo, Wewe unasema All the Best, sasa nani aliyekurupuka?
 
Get some help mkuu,all the best ina maanisha kila la kheri sijaona ubaya kuwatakia watafutaji hivyo pia comments zoooteee umeziruka ukakurupukia yangu. Punguza kutafuta kiki na attention,isizokuingizia kipato,soma madini yanayotolewa na wadau badala ya kutoa povu lisilo na faida
Sasa nilichokurupuka nini Miss Numbisa ? Hapa watu wanaomba kupeana ushauri na connections za michongo, Wewe unasema All the Best, sasa nani aliyekurupuka?
 
Nyie labda mna tofauti zenu mda tuu au hajaelewa maana ya " all the best"
 
Mimi sina ugomvi nae nimeshangaa amekasirika kisa neno all the Best. Labda ana kinyongo na mie tangu zamani,hivyo kapata fursa ya kutoa ya moyoni
Nyie labda mna tofauti zenu mda tuu au hajaelewa maana ya " all the best"
 
Sasa nilichokurupuka nini Miss Numbisa ? Hapa watu wanaomba kupeana ushauri na connections za michongo, Wewe unasema All the Best, sasa nani aliyekurupuka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu kosa Lake ni hilo tu??
 
Msaada, naweza kupata wapi yebo yebo kwa bei ya jumla
 
Huwez kuwa tajiri kwa kuingiza elfu 40 kwa siku ni pesa ndogo sana, labda angalau iwe laki nne ndo utaanza kuukaribia huo utajir tena wa kawaida tu! πŸ™„
 
Huwez kuwa tajiri kwa kuingiza elfu 40 kwa siku ni pesa ndogo sana, labda angalau iwe laki nne ndo utaanza kuukaribia huo utajir tena wa kawaida tu! [emoji849]
Tupe mbinu za kuingiza lak 4 kwa siku na ww unafanya biashara gan mkuu ya kuingiza laki 4 kwa siku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…