Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Biashara gani hiyo si muwe mnasema na biashara mnayofanya kwa faida ya wengi maana ndo dhumuni la huu uzi! Ukisema tu unakunja kiasi fulani kwa siku haimsaidii msomaji!
Mkuu biashara zimeshaelezwa kuanzia mwanzo wa uzi, ni jukumu la mtu kuusoma uzi vizuri na kma ana uhitaji sana atanifata PM nimuelekeze achen kuendekeza uvivu yaan hat kusoma uzi wote inakuw shida!
 
huwa siogopi kumshirikisha mtanzania mawazo yangu maaana najua wengi ni waskilizaji sio watendaji

so nafungukaga tu hata siogopi maana najua wanajua kuitikia wameelewa ila hawataki kuingia ktk utendaji

wengi ni waoga na wachagua fursa.
Wengi wanaogopa changamoto na rahis kukata tamaa
 
Ushapata lana
 
Wafu wananyanduana tuu au sio
 
Updated 🥹🥹😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…