Kijana akimaliza 4m4 kimbilio ni Bodaboda au librarySio sana hizo library zimekuwa nyingi sana kila siku zinaongezeka tu,
Nadhani ndo biashara inayopendwa zaidi na vijana wadogo!!
Umeona eeeh.... Hii biashara imekuwa kimbilio la tuvijana tunatopenda mademu tunaona kufungua library ndo ujanjaπππKijana akimaliza 4m4 kimbilio ni Bodaboda au library
Unakomaa na nini??Mimi kwa siku naingiza 40000 kwazia jumatatu paka jumamosi
Hongera sana mkuu... Unaweza kutuelezea umewekeza kwenye mfuko gan UTT??Mimi UTT wananiingizia 18,700 - 20,000 kila siku kwa mtaji wa 62m.
Nimepiga mifuko 4 Liquid 49m, Bond 5m, umoja 5m, jikimu 3+mHongera sana mkuu... Unaweza kutuelezea umewekeza kwenye mfuko gan UTT??
Shukrani mkuu π.... Ngoja nipite kwenye website zao ili nipate elimu zaidi....Nimepiga mifuko 4 Liquid 49m, Bond 5m, umoja 5m, jikimu 3+m
Kila ukiangalia huoni cha kusaveπββοΈMaisha haya una sevu nini? Kuandika hapa kwenye keybod ni rahisi sana.
πππKila ukiangalia huoni cha kusaveπββοΈ
Elfu 30 mkuu.... Kweli watu waitane kujadili faida ya elfu 3 kweeeli?????Faida ya 30,000 au 3,000?
Mbona mimi naingiza 3000 baada ya kutoa gharama zote nabakiwa na hiyoElfu 30 mkuu.... Kweli watu waitane kujadili faida ya elfu 3 kweeeli?????
Pambana tu utafika unapopataka hata kiumri unaonekan bado mdogo!Mbona mimi naingiza 3000 baada ya kutoa gharama zote nabakiwa na hiyo
π Sawa sawaPambana tu utafika unapopataka hata kiumri unaonekan bado mdogo!
inatakiwa ufikirie upya yaan return on investment unayopata hapo n ndogo sana. yaan umewekeza 62m alafu inakupa faida ya laki6 kwa mwez.Mimi UTT wananiingizia 18,700 - 20,000 kila siku kwa mtaji wa 62m.
Tupe hizo investment ulizonazo ww ambazo zina return kubwa huku hela yako ikiendelea kuwa safe!?????Ina
inatakiwa ufikirie upya yaan return on investment unayopata hapo n ndogo sana. yaan umewekeza 62m alafu inakupa faida ya laki6 kwa mwez.