Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ina
Mimi UTT wananiingizia 18,700 - 20,000 kila siku kwa mtaji wa 62m.
inatakiwa ufikirie upya yaan return on investment unayopata hapo n ndogo sana. yaan umewekeza 62m alafu inakupa faida ya laki6 kwa mwez.
 
Tupe hizo investment ulizonazo ww ambazo zina return kubwa huku hela yako ikiendelea kuwa safe!?????
 
Back
Top Bottom