Ligaba
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,063
- 2,874
Angalia pick up roller mkuu sio mnawapa mafundi hela kirahisi hivyo.Mkuu,
Photocopier yangu CANON IR 2204 haivuti karatasi,
Nikiiwasha inapiga kelele tu.
Msaada wa fundi mzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia pick up roller mkuu sio mnawapa mafundi hela kirahisi hivyo.Mkuu,
Photocopier yangu CANON IR 2204 haivuti karatasi,
Nikiiwasha inapiga kelele tu.
Msaada wa fundi mzuri.
Hii biashara naiwaza kila siku nipe ujanjaHakuna chenye faida kama Guest house.Tatizo ni mtaji tu...
Nimebadilisha nyumba ya kupanga (ya urithi)ikawa guest house.Ilikua na room 12.Mbovu mbovu tu.kwa siku nilikua napata zaidi ya 90k.Saiv nimekarabati naingiza zaidi.Nina mpango wa kujenga ingine
- So far narecommend tumia pepperstone broker
- Deposit kwa credit card (ABC Bank au Equity) direct inakata, within 2 minutes
- Withdraw direct to credit card (ABC Bank) , inachukua siku 2 - 3
- Mpesa option ishakua kimeo mpk hapo watakapo resolve na BoT. Lini hatujui
Mambo Vp mkuu, nme ku pm kuhusu hyo ishuni udhaifu wa akili na mawazo kutoa 7m ili uingize 20k au 30k ni ujinga... wakati kipindi hicho wenzako wana mtaji wa 400k na kila siku wanakunja 250k kama faida
iko hivi ndugu yangu King999 hao wateja wakuvutiwa na ka ofisi kako kazuriiiiiii sio wengi kama wateja wale waaopendaukiweka office kiprofesheno zaidi inavutia vijicho vya TRA lakn pia inavutia macho ya WATEJA,,,kiofisi kikiwa rough hata wateja hawavutiwi nacho u know
nmeenda kibanda moja cha mpesa leo kipo local mpaka nkarud zangu mana nlivokiona tu nkajiuliza hv kweli atakuwa na salio huyu?
cc CONTROLA
Mkuu tupe siri ya mafanikio
Tupeane siri ya mafanikio mkuu
Tena na zaid..km uko sehem nzuri...!
Imetulia hii aseeukiweka office kiprofesheno zaidi inavutia vijicho vya TRA lakn pia inavutia macho ya WATEJA,,,kiofisi kikiwa rough hata wateja hawavutiwi nacho u know
nmeenda kibanda moja cha mpesa leo kipo local mpaka nkarud zangu mana nlivokiona tu nkajiuliza hv kweli atakuwa na salio huyu?
cc CONTROLA
Hii biashara labda kama ni mkoani. Ila kwa dar hizo bei lazima ukimbiwe
Mkuu,
Photocopier yangu CANON IR 2204 haivuti karatasi,
Nikiiwasha inapiga kelele tu.
Msaada wa fundi mzuri.
Ngoja nitajaribu kuifuatilia hiyo inshu maadamTena na zaid..km uko sehem nzuri...!
All the bestNgoja nitajaribu kuifuatilia hiyo inshu maadam
Dar sehemu nyingi tunatoa copy kwa 100 na bei ni kama hizo alizoweka jamaa. Sehemu nafuu ni zilizo na vyuo na wanafunzi. Sasa mtu karatasi 10 apoteze muda aende huko?
Mkuu jaribu kuadvance huduma zako .
Una maana passport size unatoa kwa kutumia l382 ?. Hii printer haiko designed kufanya shughuli hiyo hata quality yake ni ndogo mno labda umesema kwa uswahili uko. Jitahidi upate l800, 805, 850 na kuendelea. Hizi zina uwezo mkubwa.
Na ukiwa na mtaji tafuta Canon ir 3300 photocopy machine, yenyewe ni economy sana utaprint B/W na copy. Ukisikia copy zinatolewa tsh25 basi jembe ni hilo. Tatizo la hp printers unazotumia ni gharama kubwa kuziendesha.
Unanipa hasira tu kila nikisoma nyuzi zako.Sasa Ongeza Na Ujuzi Wa Laptop
Kwa Siku utalala Na 200k
Mimi Nipo Huku Mkoan Napata Hadi 200k Per Day Nafanya Computer Na Simu
Sema Nina Vifaa Haswaa Ofisi Yangu Kam Mahabara Nina Mpak Microscope Nilinunua Ebay 1.2M Mpaka NIpata.
Now Nipo Namalizia Kupaua Ndugu.
WOTE MSIO NA AJIRA LAKIN UNAPENDA ELECTRONICS KOMAA NA COMPUTER AND PHONE REPAIR UTANIKUMBUKA
UPDATES:
Watu wananifuata PM Wananiuliza Watajifunzaje, Jamani Hivi Vitu Ni Practical Sana, Unahitaji Basic Knowledge Tu.
Na Yote Ipo Kwenye INTERNET Sijawahi Kufundishwa na Mtu Kuhusu Electronics Au Software Za Simu Na Laptop
Ni Kujifunza Then Unharibu Unasimama Mpaka Mwisho
Nilishazima Simu Kama 20 Za Watu, Ni Kweli Lakini Huwez Amin Kipind Hicho Nilijifunza Sana.
USIOGOPE, JITOE ANZA KUJIFUNZA.
Pita Hapa Upate Mwangaza Kidogo
Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer
Habari Zenu Wakuu, Natumaini Leo Mko Vyema. Lengo La Nyuzi Hii Ni Kupeana Ushauri, Maoni Na Mbinu Za Uthubutu Katika Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop Kwanza Mimi Ni Mmoja Wa Mafundi Waliojifunza Na Ku Master Phone And Laptop Repair Kutoka Google Na Youtube, Yaani Self Made Technician...www.jamiiforums.com
Sijajwahi test madini ila soon ntaanza [emoji23][emoji23] ila mkuu nimeikubali hiyo risk management yako