Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hakuna chenye faida kama Guest house.Tatizo ni mtaji tu...
Nimebadilisha nyumba ya kupanga (ya urithi)ikawa guest house.Ilikua na room 12.Mbovu mbovu tu.kwa siku nilikua napata zaidi ya 90k.Saiv nimekarabati naingiza zaidi.Nina mpango wa kujenga ingine
Hii biashara naiwaza kila siku nipe ujanja
 
Poa poa mdau
- So far narecommend tumia pepperstone broker

- Deposit kwa credit card (ABC Bank au Equity) direct inakata, within 2 minutes

- Withdraw direct to credit card (ABC Bank) , inachukua siku 2 - 3

- Mpesa option ishakua kimeo mpk hapo watakapo resolve na BoT. Lini hatujui
 
ni udhaifu wa akili na mawazo kutoa 7m ili uingize 20k au 30k ni ujinga... wakati kipindi hicho wenzako wana mtaji wa 400k na kila siku wanakunja 250k kama faida
Mambo Vp mkuu, nme ku pm kuhusu hyo ishu
 
ukiweka office kiprofesheno zaidi inavutia vijicho vya TRA lakn pia inavutia macho ya WATEJA,,,kiofisi kikiwa rough hata wateja hawavutiwi nacho u know

nmeenda kibanda moja cha mpesa leo kipo local mpaka nkarud zangu mana nlivokiona tu nkajiuliza hv kweli atakuwa na salio huyu?

cc CONTROLA
iko hivi ndugu yangu King999 hao wateja wakuvutiwa na ka ofisi kako kazuriiiiiii sio wengi kama wateja wale waaopenda

ingia sehemu local/kawaida,halafu wateja hao wanaovutiwa na ofisi yako nzuriii wakija ofisini wana mbwe mbwe nyingi

halafu akiingia ofisini kama yupo na demu wake wataishia kunywa SODA 1 na kutoka,(ofisi yako wataifanya kama kfc)

kijiwe cha stori ila hawatokuja ofisini kwako kwasababu kweli wanahitaji walichokifata (wewe mwenyewe unaweza kuwa mfano)

n mara ngapi week end ukitaka kutoka out kwenda sehemu nzuri huwa ukifika kule unaishia kunywa ka juice na maji 1 kubwaaa then unarudi nyumbani??

sehemu local/kawaida ni maalumu kwa wenye shida haswaaa yani ukienda sehemu hiyo unakua kweli "u need service" kama wewe leo umesema umeenda kibanda cha mpesa ukaondoka kwasababu hukudhani kama ana salio...

Unajua kwanin hukuenda pale kwenye kile kibanda??? "wewe sio mteja serious" hukuwa na shida na ile huduma ya pesa kwa haraka ndio mana wewe kwako unaangalia ofisi kuliko Lengo lako linalokupeleka pale.

Mtu kama mimi nikiwa nahitaji pesa huwa sijali ofisi ya mtu ikoje as long as kachora MPESA mimi naendaaaa,yule jamaaa wa kibanda cha mpesa ametulenga wateja sisi (mimi) na si wateja wewe maanaa wateja wewe huwa mnaenda ma ofisi ya watu badala ya kufata kilichowapeleka mnaanza angalia ofisi za watu wamekalia nini,wamevaa nni,nk

wateja sisi (mimi) ndio wengi katika ulimwengu huu kuliko wateja wewe boss King999 maana sisi vi hela vyetu ni kidogo ila tunavitoa kila siku,ila mteja wewe ulikua unataka ukatoe sh.laki 9 ila kuja toa hiyo amount n mpk mwezi ujao,wakati huo sisi wa vi elfu tano tano tunaena ile ofisi daily,kila saaaa ila mteja wewe unatokea mara 1 kwa wiki.

Umeona utofauti hapo sasa mkuuu.
 
ahahahah poa poa japo pale alipokuepo jamaa palikuwa na mpesa office nyngne pemben kwa kuiangalia ilivo profesional nkaenda pale na kweli nkakuta ana salio@CONTROLA,
 
ukiweka office kiprofesheno zaidi inavutia vijicho vya TRA lakn pia inavutia macho ya WATEJA,,,kiofisi kikiwa rough hata wateja hawavutiwi nacho u know

nmeenda kibanda moja cha mpesa leo kipo local mpaka nkarud zangu mana nlivokiona tu nkajiuliza hv kweli atakuwa na salio huyu?

cc CONTROLA
Imetulia hii asee
 
Hajui huyu. Bei za 25 au 50 zipo karibu na vyuo au shule. Huko mitaani bei ni 100 hutaki unaacha.

Yaani ofisi mfano ofisi ipo Buza kwa Lulenge unataka copy iwe sh 50? A hell no. Copy zenyewe ni 20 kwa siku.

Chuo kuna uhakika wa kutoa copy nyingi that's why wanashusha bei.
Dar sehemu nyingi tunatoa copy kwa 100 na bei ni kama hizo alizoweka jamaa. Sehemu nafuu ni zilizo na vyuo na wanafunzi. Sasa mtu karatasi 10 apoteze muda aende huko?
 
Mkuu, mbona L382 inatoa picha fresh tu au?
Mkuu jaribu kuadvance huduma zako .
Una maana passport size unatoa kwa kutumia l382 ?. Hii printer haiko designed kufanya shughuli hiyo hata quality yake ni ndogo mno labda umesema kwa uswahili uko. Jitahidi upate l800, 805, 850 na kuendelea. Hizi zina uwezo mkubwa.

Na ukiwa na mtaji tafuta Canon ir 3300 photocopy machine, yenyewe ni economy sana utaprint B/W na copy. Ukisikia copy zinatolewa tsh25 basi jembe ni hilo. Tatizo la hp printers unazotumia ni gharama kubwa kuziendesha.
 
Sasa Ongeza Na Ujuzi Wa Laptop
Kwa Siku utalala Na 200k

Mimi Nipo Huku Mkoan Napata Hadi 200k Per Day Nafanya Computer Na Simu

Sema Nina Vifaa Haswaa Ofisi Yangu Kam Mahabara Nina Mpak Microscope Nilinunua Ebay 1.2M Mpaka NIpata.

Now Nipo Namalizia Kupaua Ndugu.

WOTE MSIO NA AJIRA LAKIN UNAPENDA ELECTRONICS KOMAA NA COMPUTER AND PHONE REPAIR UTANIKUMBUKA

UPDATES:

Watu wananifuata PM Wananiuliza Watajifunzaje, Jamani Hivi Vitu Ni Practical Sana, Unahitaji Basic Knowledge Tu.

Na Yote Ipo Kwenye INTERNET Sijawahi Kufundishwa na Mtu Kuhusu Electronics Au Software Za Simu Na Laptop
Ni Kujifunza Then Unharibu Unasimama Mpaka Mwisho

Nilishazima Simu Kama 20 Za Watu, Ni Kweli Lakini Huwez Amin Kipind Hicho Nilijifunza Sana.

USIOGOPE, JITOE ANZA KUJIFUNZA.

Pita Hapa Upate Mwangaza Kidogo

Unanipa hasira tu kila nikisoma nyuzi zako.
 
Back
Top Bottom