Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Me ningeenda
Anandinga kali sasa hv...ila kumbe anakula na mapolisi...noma sana mama na familia yake awekwe ndan kisa bangi🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me ningeenda
Ahh unawekwa unatoka watu wanasahau maisha yanaendeleaAnandinga kali sasa hv...ila kumbe anakula na mapolisi...noma sana mama na familia yake awekwe ndan kisa bangi🤣🤣
Aa
Ahh unawekwa unatoka watu wanasahau maisha yanaendelea
Nipe connectionIfanye basi...ila ina hela...basi tu..na nnasikia imehalalishwa basi itakuwa sio deal tena
😅😅😅kuwa serious...! Tusije kukupoteza....yako mengi ya kufanyaNipe connection
😁🤣 nipo serious sana tu sema inabidi kwanza niachane na ajira ya mkoloni.hahaha me mbona nafanya😅😅😅kuwa serious...! Tusije kukupoteza....yako mengi ya kufanya
😁🤣 nipo serious sana tu sema inabidi kwanza niachane na ajira ya mkoloni.hahaha me mbona nafanya
asa mlikuwa wapi kumjibu jamaa wa watu kumbe mnajua afu mmekaa kmya,,, mm hata hlo debe la dagaa sjawah kuliona but nmetumia idea ya debe la mahnd bcoz debe moja la mahnd equals to 20 kilo
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣wakomeshe mama sura ziwameremete wawe kama makaratasi
waekee hiyo mikorogo wachanganyie na tindikali kwa mbaliiiii
tupate wenye sura kama migomba ya kule moshi
Belo huwa unachukulia wapi na je unachukua za mix gauni au aina moja nazo ni ndefu tuh.Bei inategemea na quality ya beli nililofungua kwa mfano nguo za watoto kila moja inakuwa na bei yake. Ila viblause naweza kuanzia 10,000 kwa kimoja vikishachaguliwa sana nashusha nafanya 5000. Magauni naanzia 10,000 - 15,000 na unakuta beli la magauni linakuwa na kg 100 hivyo nguo no nyingi
Nipo directionUkiwa tayari sema....! Chimbo lake ni tabora . to rwanda
Hahaha..Nina rafiki analetaga dsm, kaniita Mara kadhaa nafsi ikagoma, hahaha..inahitaj kujilipua haswa kwenye hili jamboNtakukonect naye
Hahaha..Nina rafiki analetaga dsm, kaniita Mara kadhaa nafsi ikagoma, hahaha..inahitaj kujilipua haswa kwenye hili jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha how I wish ingekua nyepesi hivyoKijizira..ila naskia wanashikwa then wanatolewa hawapigwi wala nn..unatoa tu 200k unatoka
Hii ishu ina hela kinyamaNauza mkorogo [emoji23][emoji23] vifaa vinanigarimu 50000 natoa kopo 10, kila kopo nauza 25000. Kwa siku naweza kuuza kopo mbili mpk nne. Wateja Facebook na Instagram. Na business nyingine ila hii ndio inanipa faida kubwa.