Last_Kingz
Member
- Oct 27, 2019
- 46
- 31
Beeting kwa siku inatengeneza hiyo faida ya 30k[emoji1783][emoji1783][emoji847]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ulikua unaifanyaje?Miezi miwili iliyopita nilikua najihusisha na biashara ya vipodozi vya usoni vya wanawake..nilikua natumia mtaji wa tsh 30000 kwa siku nilikua naweza kupata wateja si chini ya 5 hadi 6 na kila bidhaa nilikua nauza 30000.. kwahiyo nilikua napata hadi laki na nusu faida..ila tatizo ilikua inachosha Sana na nilivyopumzika ndiyo nikapumzika mazima.
Acha uvivu we dogo kama kusoma uzi umeshindwa sasa utaweza kufanya kazi gani wewe?Aliesoma anisaidie kufupisha habari maana n ndefu
Ongezea nyama kidogo mkuuBiashara ya kusaga na kuuza Chupa za plastiki zilizotumika za maji na juisi ... hii biashara ina pesa sana ila watu bado hawajaishtukia
Unanunua Chupa kutoka kwa hawa waokota Chupa mitaani... tena hata huwaiti, wakiona tu umefungua dago wanajileta wenyewe.
Ukisaga unaenda kumuuzia nani bossBiashara ya kusaga na kuuza Chupa za plastiki zilizotumika za maji na juisi ... hii biashara ina pesa sana ila watu bado hawajaishtukia
Unanunua Chupa kutoka kwa hawa waokota Chupa mitaani... tena hata huwaiti, wakiona tu umefungua dago wanajileta wenyewe.
kama wa kuku unalika,Utumbo huu unalika kweli au magumashi
Boss vp ukutebgenezea kabati la vyookama wa kuku unalika,
iweje wa ng'ombe ushindikane mkuu?
Sio watu wote wana afford nyama ya elfu 8.
Mkuu naomba na Mimi nije pm unipe mchongo aiseKaribu PM mkuu,tupige story mbili tatu.
Linafaa sana mkuu ila kwa nature ya vile vibanda huwa vinalala nje.Boss vp ukutebgenezea kabati la vyoo
Ukimaliza kuuza unapeleka home kabati na nyama unaenda kuhifadhi buchan8Linafaa sana mkuu ila kwa nature ya vile vibanda huwa vinalala nje.
so kioo kama kioo utakuta wajumbe wamefanya yao
Ukimaliza kuuza unapeleka home kabati na nyama unaenda kuhifadhi buchan8Linafaa sana mkuu ila kwa nature ya vile vibanda huwa vinalala nje.
so kioo kama kioo utakuta wajumbe wamefanya yao
Biashara ya kuuza utumbo unaweza kunja elfu 30 kabis kwa siku na biashara unafunga saa nane.
Kwa mtaji usiozidi milioni moja unafanikisha zoezi.
Mahitaji..
mzani mmoja wa laki na nusu..
Banda linatengezwa kwa laki na nusu..
kodi ya eneo unalipa miezi sita, assume 180k...
manunuzi;
utumbo unagharimu maximum laki 1, lakin bei ni elfu 60-80.
Hela ya kula fanya elfu 3.
Nauli kwenda home fanya 1500
Biashara inafanyikia pembeni ya bucha, kilo ya utumbo ni elfu 4-5.
usafiri ni assume elfu 5.
JUMLA KUU: kwa haraka haraka ni LAKI 6.
MAUZO NA FAIDA
Kilo 1 ya utumbo ni Tshs elfu 4 mpaka elfu 5.
kama umebeba mzigo wa kilo 30 na ukauza wote it means
35kg of utumbo×4000Tsh @kg=140,000Tshs. Gross profit.
TUNAONDOA GHARAMA TUPATE KINACHOBAKI.
140,000-100,000=40,000/=
Nauli 5000
Kula 3000
nauli tena 1500
Jumla 9500
Tunatoa tena;
40,000-9500=30,500
Mia 5 natoa naweka kwenye kibubu kila siku
inabaki hio 30,000 cash.
Hii biashara nimeifanyia utafiti kuanzia machinjio ya ng'ombe kule mazizini gogolamboto na nimeongea na wauza utumbo maeneo ya tabata na buguruni, wengi wanasema faida ya elfu 20 mpaka 40 ni kawaida kabisa na biashara huwa hot kipindi cha sikukuu.
CHA MUHIMU UPATE ENEO ZURI.
wakuu mimi sina mtaji ila ningependa kuifanya hii kazi.
atakaependa kunisaidia, karibu. Nipo Dar es salaam
[/QUONamba zinatamanisha hizo.
Boss mabegi ya mtumba unapata wapikama unataka biashara ya umachinga hiyo 30 kwa day inawezakana kaka tafuta chance karikoo mtaa wa congo mtaa wa msimbazi or agreey ukipata chance maana ziauzwa au kukodi mule barabarani.alafu uwe ata laki 8 mpaka m2 hiyo 30 unapata mapema sana biashara zipo nyingi kwenda kuchukua kwa wachina unatafuta kijana unamlipa kwa day.kukodi mule road inategemea kuna spece inategemea na location wanaanzia kwa siku 5000-15000.
Biashara mfano viatu all star au simpe zozote ukosi faida 2000 kwa pea moja ukichukua kwa mchina kuna jeans mashati t-shet au kama unajiweza kata mabegi ya mtumba.vijana wengi wa karikoo hilo eneo washajenga au wanajenga au utakuta anacho kiwanja ula ukiwaona utawaona kama wasio na kitu.unaweza ukafanya resech utaamini
Mabelo ya nguo grade one unachukulia wapi je hawachakachuiMimi nimeajiriwa na Serikali na hapohapo nafanya biashara ya Mtumba. ninaagiza beli/robota la nguo za mtumba hii inategemea wateja wangu kwa wakati huo wanahitaji nini, naweza kuagiza skert/mashati ya kiume/blause/gauni au nguo za watoto beli moja tu ambalo naweza kununua kwa laki 450-1,000,0000 inategemea ni mzigo gani nimeagiza.
Tuamshum nimeagiza nguo za watoto beli 1 Grade one (1) inaweza kuwa 600,000 pamoja na usafiri na hela ya kutolea ninayemtumia hela inafika 650,000. Kwanza ifahamike mimi sina frame, ninachokifanya mzigo ukifika naenda kuupokea nafungulia home, muda huo nakuwa nimeshawasiliana na wateja wangu kwenye magroup ya whattsapp ya Kazini na mengineyo kwahiyo nikifungua wateja tayari wapo wanachagua.
Zinazobaki nawasiliana na watu wa Ofisi nyingine nampa Boda 1000 najaza nguo kwenye begi mbili ambapo nakuwa nimezihesabu ananipeleka Ofisi flani wanachagua then wananiandikia majina na idadi ya nguo walizochuku. Baada ya hapo akirudi nacheki nguo namjazia tena nampa nauli yake naongea na mtu wa Ofisi nyingine ananipelekea tena huko.
Najikuta nauza nguo zote kwa muda mfupi sana ndani ya wiki nakuwa nimeshauza nguo zote ama zimebaki chache ambapo kwa beli la laki 600,000 nikiuza napata 1,300,000 au zaidi japokuwa biashara yangu niya kukopesha kwa mwezi. Hivyo ikifika karibia na mwisho wa mwezi naanza kuwakumbusha kwa sms. Inanilipa kwakweli namshukuru Mungu sitegemei mshahara, na kwa mwezi naweza leta mzigo mara mbili.
Sio rahisi kihivyo mama ntilie hawa wanapenda kukopakopaNiliwahi kuwaza kuwa;
Unaenda kwa mama ntilie na laki moja unaongea nae umpe laki moja ili aongeze mtaji na kuboresha huduma... Ila ww unachotaka ni hela ya sahani moja tu kila cku (1500 mpka 2000) ndani ya mwaka mmoja...kwa mwez una 45,000/= or 60,000/= kwa mwaka una 540,000/= au 720,000/=
Sasa tufanye una milion moja.... Zungusha kwa watu kumi, jumla kwa mwaka unakusanya 5,400,000/= au 7,200,000/=
Then unafungua mghahawa wako... Huku unaendelea kununua sahani kwa akina mama..
Ndio hapojangala, sometyme hawa mama ntilie wanapika kilo 5 za mchele na wali unalala, je kwny stuation kama hz utadai hyo buku jero?
na je kama kilo 5 tu znalala ni nan akubali kupokea laki yako akat anaona kabisa hata msosi wa 50k unasumbua kuisha