Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

matus hayakusaidii... hujui Mswiswi ipo wilaya gan... afu unasema Mbarali.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Tusi gani mkuu , itakuwa umechanganya Tu mafile.

Mbaga Jr alitoa maoni kuwa hajawahi fika Mbarali lakin tena akasema amewah fika Mswiswi ndio nikashindwa kumuelewa maana ni Sawa na kusema hajawahi fika Dar Ila aliwahi ishi Chanika lazima uulize Chanika ya mkoa gan
 
Okey....
kiufup alichoandika kuhusu Mbarali hakifahamu...
huko mm nalima mpunga lkn yy inaonekna kasimuliwa kaamua kuleta story.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia gharama za maisha zipo Chini huwa si Kwa kila kitu maana maisha ni dude kubwa Sana,

Ila simply watu husema gharama za maisha zipo Chini Kwa kurejelea bei za vyakula.

Mzunguko wa Pesa Mbarali ni wa kawaida
Ghalama za maisha Mbarali ni kubwa ukilinganisha na maeneo mengine ya mkoa wa mbeya.
 
N
Ghalama za maisha Mbarali ni kubwa ukilinganisha na maeneo mengine ya mkoa wa mbeya.
Ni kweli mkuu Ila watu wanakariri Tu.

Mfano Ubaruku , Rujewa , Chimala gharama za maisha zipo juu huwez linganisha na baadhi ya maeneo ya Mbeya DC au Tukuyu
 
Biashara ya kusimuliwa huwa na faida sana
Bro fika Mbarali ushuhudie , kuna deals kibao sijazitaja hapa Ila watu wanapiga hela Sana kule.

Kumbuka Zaid ya nusu Malori yanayoenda nje ya nchi yanapita Mbarali. Hii nayo no fursa kubwa Sana
 
N
Ni kweli mkuu Ila watu wanakariri Tu.

Mfano Ubaruku , Rujewa , Chimala gharama za maisha zipo juu huwez linganisha na baadhi ya maeneo ya Mbeya DC au Tukuyu
Ni kweli nilikaa pale Igawa, alafu nikaenda pale Mpunga,Rujewa, Nilifika Ubaruku kule mpk kwenye zile mashine za mpunga. Nilifika kwenye ile zahanati kule hata Dokta hakai pale maana mbele kidogo kuna matofali wanafatua.
 
Mmmh mbarali hi hii au ipi

Hapo tuwaachie waburushi tu
Mkuu sio Mbarali yote Waburushi wametawala. Ukienda Igurusi hakuna mburushi mwenye nguvu, The Same to Chimala, Mswiswi n.k

Uzur wa Mbarali maeneo mengi hayapo mbali Sana na barabara ya TANZAM.

mfano unaweza kutulia Igalako ukapiga zako kilimo bila kutegemea mvua
 
Bro fika Mbarali ushuhudie , kuna deals kibao sijazitaja hapa Ila watu wanapiga hela Sana kule.

Kumbuka Zaid ya nusu Malori yanayoenda nje ya nchi yanapita Mbarali. Hii nayo no fursa kubwa Sana
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom