rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Mbarali ni swamp area, bonde..joto jingi maji mengi. Mahindi labda ya kula tu sio biashara.Wakuu Mbarali kilimo cha mahindi vipi kinakubali kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbarali ni swamp area, bonde..joto jingi maji mengi. Mahindi labda ya kula tu sio biashara.Wakuu Mbarali kilimo cha mahindi vipi kinakubali kweli?
Demand, mfano kule Mbarali highland Estates Kwa aliekuwa mmiliki wa timu ya ihefu ekari Moja ni 490kUnafikir gharama inatokana na nin
Unaongea kama vile ww n mke wangu kwahy upo na Mm muda wote
Tukienda wote Mbarali tutatosha!??Wakuu maisha ni kushare love.
Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.
Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa zaidi ni kilimo na biashara.
Kuna watu pande za Ubaruku, Madibira , Kapunga n.k wanapiga Sana hela kwenye kilimo cha mpunga na biashara ya mchele.
Mbarali kbiashara pia kuna fursa sana, kwenye mchele na hata mazao mengine kuna fursa Sana.
Fursa ya usafirishaji nayo haipo nyuma maana Mbarali ni Wilaya ambayo ipo active Sana na usafiri ni wa uhakika.
Fursa NI nyingi Sana ,, wengine wataongezea. Kuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10.
Wakuu maisha ni kushare love.

Maelezo yangu yana nnMaelezo yako ndio yamefanya aseme hupajui Mbarali
Nyumbani kwetu kabisa mi natoka wilaya ya mbarali kata ya igurusi ufugaji pia upo sana tuVP ufugaji ??
Igurusi Majenje au Mshikamano😃Ni
Nyumbani kwetu kabisa mi natoka wilaya ya mbarali kata ya igurusi ufugaji pia upo sana tu
Wakuu maisha ni kushare love.
Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.
Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa zaidi ni kilimo na biashara.
Kuna watu pande za Ubaruku, Madibira , Kapunga n.k wanapiga Sana hela kwenye kilimo cha mpunga na biashara ya mchele.
Mbarali kbiashara pia kuna fursa sana, kwenye mchele na hata mazao mengine kuna fursa Sana.
Fursa ya usafirishaji nayo haipo nyuma maana Mbarali ni Wilaya ambayo ipo active Sana na usafiri ni wa uhakika.
Fursa NI nyingi Sana ,, wengine wataongezea. Kuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10.
Lusese bro😂Igurusi Majenje au Mshikamano😃
Huko mahali raia wanapiga pesa sana.Cha ajabu huko mbarali maskini wamejazana!