Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

Wakuu maisha ni kushare love.

Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.

Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa zaidi ni kilimo na biashara.

Kuna watu pande za Ubaruku, Madibira , Kapunga n.k wanapiga Sana hela kwenye kilimo cha mpunga na biashara ya mchele.

Mbarali kbiashara pia kuna fursa sana, kwenye mchele na hata mazao mengine kuna fursa Sana.

Fursa ya usafirishaji nayo haipo nyuma maana Mbarali ni Wilaya ambayo ipo active Sana na usafiri ni wa uhakika.

Fursa NI nyingi Sana ,, wengine wataongezea. Kuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10.
Tukienda wote Mbarali tutatosha!??
 
Na kupigana vipapai kusiko isha..wanapenda sana kushughulikiana 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cha ajabu huko mbarali maskini wamejazana!
 
Kwa tafiti zipi?

Mbarali ni miongoni mwa Wilaya chache Nchin zenye watu wenye kipato cha uhakika.

Fika mjin NBS Ujionee
 
Ubaruku, kijiji cha mwakaganga, darajani, daraja la ngombe rujewa , estate kwa mwekezaji, nyeregeti,
 
Kweli kaka mi na
Wakuu maisha ni kushare love.

Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.

Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa zaidi ni kilimo na biashara.

Kuna watu pande za Ubaruku, Madibira , Kapunga n.k wanapiga Sana hela kwenye kilimo cha mpunga na biashara ya mchele.

Mbarali kbiashara pia kuna fursa sana, kwenye mchele na hata mazao mengine kuna fursa Sana.

Fursa ya usafirishaji nayo haipo nyuma maana Mbarali ni Wilaya ambayo ipo active Sana na usafiri ni wa uhakika.

Fursa NI nyingi Sana ,, wengine wataongezea. Kuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10.

Igurusi Majenje au Mshikamano😃
Lusese bro😂
 
Back
Top Bottom