Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajajua nahisi n Kwa sababu wanalima kilimo bandika bandua,Unafikir gharama inatokana na nin
Town mchele maarufu unatoka moro? Muuzaji anakwambia kitu cha mbeya kikiwepo apo juu, kwa kuona tu unajua mzgo wa mbeya. Mda huo nilinunua wa moro, wa mbeya huwa haukai unaisha fasta....amesema muuzajiKwani moro na mbeya upi mkoa wenye fursa zaidi ya kilimo
Hivi soko kubwa la mchele ni ndani hapa hapa au nje ndo unauzika sana?Mchele wa Mbeya ni very marketable
Uzi mzuri sana.Wakuu maisha ni kushare love.
Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo.
Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa zaidi ni kilimo na biashara.
Kuna watu pande za Ubaruku, Madibira , Kapunga n.k wanapiga Sana hela kwenye kilimo cha mpunga na biashara ya mchele.
Mbarali kbiashara pia kuna fursa sana, kwenye mchele na hata mazao mengine kuna fursa Sana.
Fursa ya usafirishaji nayo haipo nyuma maana Mbarali ni Wilaya ambayo ipo active Sana na usafiri ni wa uhakika.
Fursa NI nyingi Sana ,, wengine wataongezea. Kuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10.
Hakuna..Wakuu Mbarali kilimo cha mahindi vipi kinakubali kweli?
Inategemea na location, hela utapiga hasa msimu wa kuvuna mwezi wa 5 hadi 8.Asante kwa taarifa mkuu ,
Vipi nikijenga guest house?
HakikaTuacheni masihara. Hakuna sehemu nzuri kwa kila mtu kutafuta maisha. Maisha na mafanikio yanaanzia kwenye akili kabla ya kuonekana kiuhalisia.
Utajiri ni matokeo na sio mchakato, tuachane na hayo. Karibuni ziwa Victoria kwa shughuli za uvuvi unalipa sana, bila kusahau machimbo ya dhahabu na almasi. Njoo na akili yako na mtaji kidogo tu nguvu utazikuta mbele ya safari.
Ongezea, hakuna kama Mbarali kama una mtaji wa kutoshaBado naendelea kusisitiza kwamba Kwa nchi hii hakuna Kama Mbarali
Mbarali hawauzi maeneo, wanakodisha tu Kwa msimuCha kuongeza
Mbarali pamoja na maeneo ya jirani ya hifadhi yanakumbwa na sekeseke la mipaka ya hifadhi hivyo kwa wawekezaji kuweni makini msije uziwa maeneo yaliyo ndani ya mpaka wa hifadhi.
Gesti zipo nying sana, sikushauri.Asante kwa taarifa mkuu ,
Vipi nikijenga guest house?