Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

Sasa fika eneo la tukio ndio utajua hujui

_20230729_105349.JPG
 
Mbarali hii! Ukifika Kyela naona utachanganyikiwa, Kyela inazo fursa nyingi sana za kilimo cha korosho, michikichi, kokoa, mpunga, migomba, vanila, mahindi, minazi, uvuvi, ufugaji, parachichi na biashara ya mpakani na Malawi pia upande wa pili wa ziwa Nyasa yaani wilaya ya Nyasa.
Mbarali kilimo ni cha mpunga ni cha kugombania maji na eneo ni dogo wakulima wamebanana.
Nako pori ni kubwa tuu na huko maji ni bwerere. Ukichelewa kuandaa mbegu imekula kwako.
 
Mkuu kwenye kilimo fursa kubwa ni kilimo cha mpunga lakin si Sawa kusema Mbarali fursa ni hiyo tu .

Mbarali biashara zinatembea Sana . Hata hapo Rujewa biashara zinaenda Sana .
Mmmmh mzee unaongea tu au ulisha wahi fanya biashara kwa mtu anayejitafuta usijaribu igawa lujewa au ubaruku utakula jua tu, kilimo cha mpunga kule wanaamini sana ushirikina labda uende kipindi cha mavuno ndo uende kufanya kazi za kupiga
 
Kwa kweli mkoa wa mbeya kwa asilimia kubwa umebahatika sana ,neema zipo za kutosha
 
Wakuu kiujumla ukiona umekaa mjini muda mrefu na huoni fursa hebu kajitafute kwanza wilayani kiukweli kuna fursa hutakaa uamini mjini ni pazuri sana ila ukiwa na kitu kinachokupa pesa ya mahitaji yako kama ni tofauti kajitafute wilayani utanishukuru
 
Mmmmh mzee unaongea tu au ulisha wahi fanya biashara kwa mtu anayejitafuta usijaribu igawa lujewa au ubaruku utakula jua tu, kilimo cha mpunga kule wanaamini sana ushirikina labda uende kipindi cha mavuno ndo uende kufanya kazi za kupiga
Hakuna kitu Kama hicho wee Mzee. Ushirikina unaaminiwa nchi nzima na mtu hawez fanya ushirikina then akaacha kuweka mbolea na kupalia Kwa wakati.

Hapo ushirikina upo wap?
 
Hapo Mbarali ingekuwa wafugaji wa kimasai wapo tayari pangekuwa uwanja wa vita.

Wasukuma (wafugaji) walivamia hilo bonde la Usangu kwa wingi toka miaka ya 1990 na hakuna migogoro sana ya matumizi ya ardhi though waliondolewa bondeni
 
Maasai hovyo sana
 
Hatimae na sisi wa Ubaruku (Ibohora, Mkombwe, Utyego) tumefikiwa.
Kiukweli Ubaruku pako vizuri.
Wageni tunawakaribisha.
 
Back
Top Bottom