MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Biashara ya kusimuliwa huwa na faida sanaKuna jamaa anaitwa Kaponda yupo KIJIJI Fulani kinaitwa Mswiswi Mwamba anafanya vizur Sana na anatajirika kweli kweli maana kamix biashara mbalimbali now ana Scania si Chini ya 10 .
Msukuma kavamia? Patageuka jangwa.Ufugaji nao ni fursa nzuri tu. Muhim ufuge kisasa maana malisho siku hiz sio poa Sana , na mapori mengi wamevamia wasukuma. Raha ya Mbarali unaweza fikisha bidhaa zako za mifugo Dodoma , Dar chap Kwa haraka
Tusi gani mkuu , itakuwa umechanganya Tu mafile.matus hayakusaidii... hujui Mswiswi ipo wilaya gan... afu unasema Mbarali.
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Ukisikia gharama za maisha zipo Chini huwa si Kwa kila kitu maana maisha ni dude kubwa Sana,Ukiona sehem gharama za maisha zipo chin sana ujue mzunguko wa Hela mdogo San.
Okey....Tusi gani mkuu , itakuwa umechanganya Tu mafile.
Mbaga Jr alitoa maoni kuwa hajawahi fika Mbarali lakin tena akasema amewah fika Mswiswi ndio nikashindwa kumuelewa maana ni Sawa na kusema hajawahi fika Dar Ila aliwahi ishi Chanika lazima uulize Chanika ya mkoa gan
Ghalama za maisha Mbarali ni kubwa ukilinganisha na maeneo mengine ya mkoa wa mbeya.Ukisikia gharama za maisha zipo Chini huwa si Kwa kila kitu maana maisha ni dude kubwa Sana,
Ila simply watu husema gharama za maisha zipo Chini Kwa kurejelea bei za vyakula.
Mzunguko wa Pesa Mbarali ni wa kawaida
Wamedhibitiwa Kwa kiasi FulaniMsukuma kavamia? Patageuka jangwa.
Sawa tupo pamoja mkuu. Kwa Mpunga Mbarali ndio mahala pakeOkey....
kiufup alichoandika kuhusu Mbarali hakifahamu...
huko mm nalima mpunga lkn yy inaonekna kasimuliwa kaamua kuleta story.
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Ardhi ghalama zipo juu Sana. Mashamba kukodi Kwa heka ni laki 3 mpaka 8.Ardhi bei yake ikoje
Ufugaji wa wanyama wafugwao nchini wanakuali MbaraliVP ufugaji ??
Ni kweli mkuu Ila watu wanakariri Tu.Ghalama za maisha Mbarali ni kubwa ukilinganisha na maeneo mengine ya mkoa wa mbeya.
Karibu Tena Madibira, Kuna vijiji vya mkunywa, mahango, chalisuka. Maeneo yenye fulsa za kilimo Kwa mbarali ni kama yote.Madibira Kijiji Cha mkunywa. Umenikumbusha mbali sana mkuu
Bro fika Mbarali ushuhudie , kuna deals kibao sijazitaja hapa Ila watu wanapiga hela Sana kule.Biashara ya kusimuliwa huwa na faida sana
Sjakuelewa unamaana gani??Ufugaji wa wanyama wafugwao nchini wanakuali Mbarali
Ni kweli nilikaa pale Igawa, alafu nikaenda pale Mpunga,Rujewa, Nilifika Ubaruku kule mpk kwenye zile mashine za mpunga. Nilifika kwenye ile zahanati kule hata Dokta hakai pale maana mbele kidogo kuna matofali wanafatua.N
Ni kweli mkuu Ila watu wanakariri Tu.
Mfano Ubaruku , Rujewa , Chimala gharama za maisha zipo juu huwez linganisha na baadhi ya maeneo ya Mbeya DC au Tukuyu
Mkuu sio Mbarali yote Waburushi wametawala. Ukienda Igurusi hakuna mburushi mwenye nguvu, The Same to Chimala, Mswiswi n.kMmmh mbarali hi hii au ipi
Hapo tuwaachie waburushi tu
Sawa mkuuBro fika Mbarali ushuhudie , kuna deals kibao sijazitaja hapa Ila watu wanapiga hela Sana kule.
Kumbuka Zaid ya nusu Malori yanayoenda nje ya nchi yanapita Mbarali. Hii nayo no fursa kubwa Sana