Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

Ardhi Mbeya gharama ni kubwa sana,ekari moja Mbeya Kwa Rukwa na Katavi unapata zaidi ya ekari 5
 
Unafikir gharama inatokana na nin
Sijajajua nahisi n Kwa sababu wanalima kilimo bandika bandua,
Nimewauliza wakulima wanasema cost za kulima Mbeya zipo juu afadhari ya swanga maana kote bila kuweka mbolea hupati kitu
 
Sijajajua nahisi n Kwa sababu wanalima kilimo bandika bandua,
Nimewauliza wakulima wanasema cost za kulima Mbeya zipo juu afadhari ya swanga maana kote bila kuweka mbolea hupati kitu
Mchele wa Mbeya ni very marketable
 
Kwani moro na mbeya upi mkoa wenye fursa zaidi ya kilimo
Town mchele maarufu unatoka moro? Muuzaji anakwambia kitu cha mbeya kikiwepo apo juu, kwa kuona tu unajua mzgo wa mbeya. Mda huo nilinunua wa moro, wa mbeya huwa haukai unaisha fasta....amesema muuzaji
 
Uzi mzuri sana.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cha kuongeza
Mbarali pamoja na maeneo ya jirani ya hifadhi yanakumbwa na sekeseke la mipaka ya hifadhi hivyo kwa wawekezaji kuweni makini msije uziwa maeneo yaliyo ndani ya mpaka wa hifadhi.
 
Hakika
 
Cha kuongeza
Mbarali pamoja na maeneo ya jirani ya hifadhi yanakumbwa na sekeseke la mipaka ya hifadhi hivyo kwa wawekezaji kuweni makini msije uziwa maeneo yaliyo ndani ya mpaka wa hifadhi.
Mbarali hawauzi maeneo, wanakodisha tu Kwa msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…