Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

Kuna wakati ulikuwa unafikiria kuwa mwanamke, ulifikia wapi ule mpango wako?
 
Ila kuna watu wana nyota ya kukubalika humu jukwaani. Mmojawapo ni Mpwayungu.

Huyu jamaa huwa analeta nyuzi za kutamani yeye kuwa mwanamke, watu wanamchana, baadae inasahaulika anavuta kasi tena na nyuzi zingine.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Dar mnaishi km nguruwe,mama na baba na watt chumba kimoja.....mkoan haipo hiyo
Chai saa 6 mchana, chakula cha mchana ni saa 2 usiku. Mpk kesho tena.
Hapo ndiyo nilichoka. Mikoa kununua kiwanja ni rahisi, unaweza kujenga hata chuma na sebule chenye self, ukaishi. Dar hicho kiwanja sijui unakitolea wapi
 
Vipi kuhusu waalimu mkuu?
 
We jamaa jaribu kuficha udhaifu wako kidogo mada zako huwa ziko very low yaani hufikri kabla ya kuandika kifupi huwezi kuwa na jibu moja kwa maeneo yote asilimia kubwa ya huo mzunguko wa hela unaouona hapo Dar ni kutoka upcountry yaani mikoani kifupi wazalishaji wako mikoani wachuuzi na walaji wako mikoani ni wewe tu kuangalia unataka uwe wapi katika huo mnyororo wa thamani afu Dar sio issue bro asilimia kubwa ya wamiliki wa mijengo hapo Dar wako Mkoa huko kuja chukua tu kodi nakusepa bila kelele , tumezaliwa hapo ila tupo mkoa kusaka life brother kweli we wa mpyayungu ale swelo wenyu
 
Wewe dogo unamatatizo sana! Ukienda Arusha,Mwanza Iringa,kahama watu tena vijana wana pesa nzuri tu kuzidi vijana wengi mjini hapa! Dar ni ujuaji tu lakini majority ya vijana njaa kali! Au kumiliki IST ndo kutoboa unakomaanisha!😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…