Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

Ale solowenyu nyenye
 
Dar mabasha ni wengi huenda kashapata bwana ndio maana anakuja na thread za kutapatapa..sema kama bado hajapata tumtafutie..posta kuna muhindi anawapasua anawalipa vizuri🤣
Aahaaaaa
 
Hii kweli kabisa. Mikoani watu hawajali muda,wanachagua kazi,wanapeana michongo kindugu au kiukoo na kuridhika hata kwa kitu kidogo sana
 
Hii kweli kabisa. Mikoani watu hawajali muda,wanachagua kazi,wanapeana michongo kindugu au kiukoo na kuridhika hata kwa kitu kidogo sana
Endeleeni kudanganyana kama uko Dar na hauna mishe au kazi ya maana vijana wa mkoani watakukimbiza tena sana tu! Wewe fanya utoke hapa Dar uende zako Njombe,Tunduma,Katoro au Kahama utajiona ni boya unayepoteza mda Dar!
Vijana Dar ni tamu kwa starehe lakini kama hauna kazi ya kukuingizia kipato cha uhakika na ukabaki kudhania kuwa walioko mikoani hawatoboi maisha unajidanganya!
Pia vijana jitahidini kutoka nje ya Dar! Mimi nikikwambia tu Ukienda hata Mwanza hapo kuna vijana wana nyumba kali hata nyumba mnazojenga sijui kinyerezi akija mtu wa Mwanza anawaona hamna maajabu!
Hata Mo Dewji alisema utafiti unaonesha vijana wa mikoani wana kipato kikubwa kuzidi walioko Dar!
Akili mkichwa kila mtu apambane kivyake sio kulishana matango pori hapa!
 
Katika pitapita zangu niliwahi kupita hapo katoro ebwana vijana under20 wana mijengo mikali sema wamekariri sikupenda wanavyojenga mabati yameenda juu mno gharama ya bati tu ni nyumba za tabata. Lakini pia mwanza nyumba niza kisasa sana kulinganisha na dar
 
Kwani walimu wameishabadirika mbona umehamia kwa vijana na mikoa. Hao vijana ambao hawajatoboa nao ni walimu.
Rudi kwenye mada tulizokuzoea maana huwa unapata view nyingi.
 
Kwa akili zako ndogo unawaza kutafuta nikufungua duka nakuuza utakufa masikini hapo dar unapata pesa ya bia moja kwa siku inahs umetoboa.

Kuna watu dar mnauza miguu ya kuku na utumbo inatoka kwa speed mnahs mna biashara

Ushamfikiria mtu mkoa ambae ni contractor? Je mwenye kampuni yake ya mazao na anafanya kazi na akina Mo, bhakresa? Hivi biashara pale mwanza, morogoro wafanyabiashara hao wanazidiwa na watu wa dar?

Kasheku msukuma anaishi dar? Hardware, timber, min market kubwa mikoni watu wa dar wanazo na wanapata pesa kuzidi mkoa? Mliokuja dar ukubwana mna shida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…