Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

Ahsante kwa kuendelea kuficha Fulsa ya moka wa lindi sisi tulioshitukia chimbo mapema tunaendelea kutajirika, tunajenga majumba Dar, mnapanga ila hamjui wamiliki tunatoa wapi pesa.[emoji23][emoji23]
 
Nimemwambia aende Kahama tu hapo!Atakuja kugundua Dar inawezekana ndo ina vijana wengi wasio jitambua na wenye kipato duni!
 
Upo sahihi kaja dar ukubwani akitokea mpunguzi Dodoma!!
 
Life ni popote penye fursa,ila dsm kinachowabeba ni population ili utoboe dsm pia lazima uwe na mtaji sio mchezo.
 
Mwenzetu unayeishi Dar una nini?
 
Daslam unatakiwa kuja uko na age walau 45 hivi baada ya kutunisha kibunda na kujiweka sawa huko mkoani ,ila kwa maoni yangu Dsm ni mji wa kuingia kufanya mitkasi na kutoka ,base inakuwa mkoani
 
Duuuu huu msisitizo wa mwisho mpaka roho inauma kwa sisi tunao fanya kazi ya halmashauri
 
Dar utapata maisha gani
Labda uajiliwe kwenye vi Ngo
Pesa ziko mikoani
Mwanza, arusha, mbeya milion 200 kwa kijana mdogo ni kitu cha kawaida
Vijana wa dar hawana asset wala biashara unazani watafanya nin cha maana
Vijana wa dar konyagi moja wanakunywa watatu tena kwa mbinde sana pesa watatoa wapi
We jidanganye
 
Daslam unatakiwa kuja uko na age walau 45 hivi baada ya kutunisha kibunda na kujiweka sawa huko mkoani ,ila kwa maoni yangu Dsm ni mji wa kuingia kufanya mitkasi na kutoka ,base inakuwa mkoani
Umeongea point
Yaani unakuja kununua frame ya milion 50 kariakoo na kuweka mtaji milion 400
Kutanua biashara sio kuanza biashara
 
Hahahaaa bati milion 27 huku tunashindana kupaua ndo uwanaume
 
Na ikifika hatua mwanaume kutamani kuwa mwanamke basi mtu huyo ana shida kichwani
 
Dar matajiri wengi utajiri wao wameutolea mikoani, wengine wamehamia baada ya kutoboa kimaisha.
Wewe ambae unategemea kuishi kwa ujanja ujanja kwa kigezo eti dar huwezi kulala njaa, utazeeka unatafutia tumbo lako na kujidai unamjua kila tajiri kwenye vijiwe vya kahawa

Jioni ikifika unaenda kuoga kwenye bafu lisilo na mlango unaweka Shuka mlangoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…