Sisi ambao licha ya kuvitumia, tulikua ndio tunavitengeneza tunaruhusiwa ku comment?Wakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Kuna vitu sipendi kukumbukaga sana hapa ngoja nimwite HOMEBOY wangu tutete kidogo.Wakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Homeboy da mimi mwenyewe nimesomea kibatali kama hicho .Aise imenikumbusha mbali sana kipindi hicho nikikohoa natoa kohozi jeusi .Kuna vitu sipendi kukumbukaga sana hapa ngoja nimwite HOMEBOY wangu tutete kidogo.
shuka chini
Elimu yangu secondary o_level nimesoma kwa kibatariii na chemlii.........
YALE MAISHA NILIYO ISHI NINGEFELI SHULE LINGEKUA PIGO KUU NILI TESEKA SANAAAAAA
Kipindii kile elimu ilikua ni TAA huwezi soma ukakosa ajira kama Sasa 😔😴Homeboy da mimi mwenyewe nimesomea kibatali kama hicho .Aise imenikumbusha mbali sana kipindi hicho nikikohoa natoa kohozi jeusi .
Vijana wasasa wanasoma kwa raha sana taa za kichina zimetapakaa.
ila,,,usiache piga para.......huepusha tezi dumePunguza Sukari, Nyama Nyekundu Ila Usiache
Anza kusema ulitumia aina ipi kati ya hizo?Wakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Nakaziaila usiache kupiga bar
ila,,,usiache piga para.......huepusha tezi dume
Hivyo vya juzi sanaWakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
Kwa bibi yangu kulee vudeee msangaa,tulikua tunaita vijariii avyaeeeWakuu,
kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku
🤣Ubunifu wa mtanzania umeishia hapo