Kama unajua ulitumia hivi vibatari punguza kula sukari na mafuta

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,

kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku

photo_2025-08-25_14-28-52.jpg

photo_2025-08-25_14-28-41.jpg
 
Mkuu hayo yalikuwa mabomu ya kutupa kwa mkono ya kizamani nini?Kweli jeshi letu limetoka mbali sana
 
Wakuu,

kama unajua ulitumia hivi vibatari, Punguza Sukari na mafuta.kisha Kumbuka kulala mapema. Muda umeenda sana saivi ni hekaheka tu huwezi mapambano tena ushakua mzee wa siku

Kuna vitu sipendi kukumbukaga sana hapa ngoja nimwite HOMEBOY wangu tutete kidogo.

shuka chini

Elimu yangu secondary o_level nimesoma kwa kibatariii na chemlii.........
YALE MAISHA NILIYO ISHI NINGEFELI SHULE LINGEKUA PIGO KUU NILI TESEKA SANAAAAAA
 
Homeboy da mimi mwenyewe nimesomea kibatali kama hicho .Aise imenikumbusha mbali sana kipindi hicho nikikohoa natoa kohozi jeusi .

Vijana wasasa wanasoma kwa raha sana taa za kichina zimetapakaa.
 
Kipindii kile elimu ilikua ni TAA huwezi soma ukakosa ajira kama Sasa 😔😴
 
Vibatari a.k.a koroboi

Vilikua vinatengenezwa viiingi makoroboi Mwanza
 
Kutumia tulitumia
Nyama tunakula
Chumvi na sukari tunatumia
Pombe tunakunywa
Na bado tunadunda
Usitutishe
 
Back
Top Bottom