Kama unamtoa mwanamke out umpe na nauli ya kurudia hali ngumu

Unakaa chanika na out ziko masaki bill 50k na analipa hauoni hata aibu kudai nauli? Ili akuone wa maana clear bill hata siku moja , yaani ubongo wako umejaa makamasi kabisa haifai Una akili za kifukara

Kwani mimi ndio niliomba out?? Yaani ni clear bill mimi ndio nilichagua hiyo sehemu kama angeniuliza nataka twende wapi ningemwambia twende mwananyamara tukale Zanzibar pizza tamu kuliko za masaki
 
Kwani mimi ndio niliomba out?? Yaani ni clear bill mimi ndio nilichagua hiyo sehemu kama angeniuliza nataka twende wapi ningemwambia twende mwananyamara tukale Zanzibar pizza tamu kuliko za masaki
Nakupa mfano my gal Yuko humu humu anawaza tununue private jet tukikosa Sana helcopter ananipa Moto akili inachemka nipate vipi pesa hasa wewe wa chanika unalaumu nauli hauoni unajiaibisha , jamaa anajua ana mtu mwenye akili wstafika mbali kumbe ni boksi tupu, tena akigundua akili yako iko hivi hutomuona tena
 
Wadada wa chanika mna shida sana, nishawahi kuwa na mahusiano na mdada flani anakaa chanika ni mwendo wa lawama tuu.
Au ndo wewe nn?

Mimi sikai chanika nimetolea mfano tu kwa kuangalia umbali
 

Kwani kuna sehemu nimesema ni mtu wangu… hatuna mahusiano so siwezi kushauri chochote
 
Mwanamke aina yako kama Mimi hata siku mbili hatumalizi
 
vipi mzigo umempa?
 
Ka Ben Ten kangu siwezi kukapangia namna ya kutumia pesa zake.. kwasababu mimi sio mwanamke wake wala sijui pesa zake anapataje mpk ajitutumue
Endelea kuteseka na vinauli vyako vya Chanika😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…