Kama unamtoa mwanamke out umpe na nauli ya kurudia hali ngumu

Hao hata namba hua siombi kabisa maana Wana ndoto za kifukara unaweza kufa maskini lazima uwe na mwanamke mwenye dream za mbali ili akili ichangamke
Usemavyo ni kweli.
Kuna wakati nilikuwa na mwanamke wa kiwango...akili ilichangsmka sana.
Kwani sikupenda kumpoteza na sijui niliwezaje kummudu hakika
 
Ka Ben Ten kangu siwezi kukapangia namna ya kutumia pesa zake.. kwasababu mimi sio mwanamke wake wala sijui pesa zake anapataje mpk ajitutumue
Unampangia mtu akupe angalau elfu mbili za nauli halafu unasema huwezi kumpangia mtu jinsi ya kutumia hela zake?

Contradiction.

Tafuta hela zako uache kupangia watu kukupa nauli.
 
Mwanamke kwa hela ya mwanaume lazima ampangie!
Mwanamke akitumia laki kutengeneza nywele, kununua viatu, sijuwi mkorogo, sijuwi ujinga gani huko wala hana ubahili nayo!
Binadamu wa ajabu sana hawa!
 
nilivyo masikini natamani kumwambia hiyo hela ya msosi anipe 40k hiyo 10k tukale chips tunashiba kabisaa

Acheni ubahiri nyie wanaume
Mwanamke masikini ni mpumbavu sana
  • Kwanza, huwa anaamini umasikini wake unasababishwa na kuolewa au kudate mwanaume masikini au bahiri
  • Pili, mwanamke masikini mlaumu sana baba yako mzazi kwa kushindwa kukutengenezea maisha mnakuja kusumbua vijana wa watu ambao bado wanapambana.

    Kama pesa ni rahisi hivyo mbona baba yako kwa miaka zaidi ya 30 au 40 ya maisha yake ameshindwa kukutengenezea maisha, ametuletea binti masikini anayenuka njaa ambaye hata buku 2 ya nauli ni changamoto.
Amka upambane bi dada make your own money

Learn or Perish
 
Ila huyo mtu wako nae alizingua,

Maadam yeye ndio alikuita date, kiungwana tuu alitakiwa akupe hela ya nauli au usumbufu.
Ukizingatia ndio date ya kwanza hawezi jua wewe mfukoni ukuje.

nae kazingua. Ukweli usemwe.
 
...yupo normal"..."...mcheshi"...! Hayo si kweli.Anakunyima/hakupi nauli?Anakosea.Tena anapaswa akurudishe hadi unapoishi na akuachie ya kupakia poda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…