Kama unamtoa mwanamke out umpe na nauli ya kurudia hali ngumu

Huoni aibu,yani mtu akulishe elf 50,unashindwa kuchangia elf 5 ya nauli yako,hapo bahili ni nani...

Uzuri yeye ndio amelazimisha angenifuata nilipo chenchi ingebaki ila kwasababu anataka kujionesha ana hela ndio aende expensive place alitakiwa anipe nauli
 
Njoo tukutane weekendi hii nitakupa 200k kwa nin kuongozana wa wakaka masikini
 
Kama mna malengo katika mahusiano yenu basi wakati mwingine mshauri mwenzio asiende kwenye maeneo ya gharama ili angalau kubana matumizi, maana hayo mahusiano sasa ni kama vile yanakosa balance, wewe uchumi wako ni Tia maji wakati mwenzio yupo vizuri. Lakini kama hamna future katika hayo mahusiano yenu basi wala hamna sababu ya kushauriana muache mwenzio atumie pesa zake jinsi anavyotaka na wewe usilalamike wala kumpangia matumizi.

Kila la kheri
 
Ka Ben Ten kangu siwezi kukapangia namna ya kutumia pesa zake.. kwasababu mimi sio mwanamke wake wala sijui pesa zake anapataje mpk ajitutumue
Literary kwenye huu uzi tayari unampangia.
 
Unakaa chanika na out ziko masaki bill 50k na analipa hauoni hata aibu kudai nauli? Ili akuone wa maana clear bill hata siku moja , yaani ubongo wako umejaa makamasi kabisa haifai Una akili za kifukara
Alieomba outing ndie anatakiwa kuclear bills.
 
Kuwa real, mda mwingine mueleze huna nauli, kama anaweza kukusave kiasi kadhaa, kama anakupenda/jali hashindwi kukupa naul
Mkuu wanawake wetu akili zao na tabia zao tunazijua wao kutumia pesa zao zina wauma sana wao wanataka kupewa tu, yani ukimuita lazima uwajibike kumlipia kila kitu.
 
Huyo anataka ujiongeze yeye jukumu lake la kukununulia msosi amelitimiza,, kwahyo anajua fika kuwa kuna ambaye atakupa nauli..mdada mbona hata wa darasa la saba b anaelewa?Unakwama wapi?
 

Hatuna mahusiano bado anafanya kampeni
 
Halafu baada ya yeye kucomplain ulimuongezea hela au ulichukua hiyo elfu 20 yako kisha ukamuacha atembee kwa miguu mpaka kwao huko kimara?
Sikumuogezea na sikumnyang'anya pia
 
Tafuta hela⚠️⚠️⚠️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…