Kama unamuda wa kusali huna muda wa kusikiliza mrejesho wa Mungu unapoteza muda bure

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.

Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo.

Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia mifumo ya fahamu ya kimwili na kiroho.

Mfano; Leo nimeomba anipe wazo la kuandika kitabu cha kiroho. Baada ya Ibada nikabaki nimekaa ninasikilizia. Ghafla nikaanza kupokea maelekezo kwenye fikra. Nikapata jina la kitabu na wazo la kulinawirisha zaidi zaidi hilo jina, na tools za kutumia. Maelekezo yote nimeyaandika kwenye sticknote ya simu KWA ajili ya kulidevelop zaidi hili wazo. Na natarajia kupata maelekezo zaidi katika hili.

Jifunze kumsikiliza Mwenyezi Mungu huwa anaongea. Jifunze kupokea maagizo na maelekezo baada ya maombi yako.

Hii itakusaidia sana.

Mstari huu ukutafakarishe zaidi. Wengine wanasikia ila wanapuuza.

Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia.

Mithali 10:8

NI HICHO TU
Mtumishi Matunduizi
 
1 Samweli 28:6
Lakini Sauli alipouliza kwa Bwana, Bwana hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.
 
Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.

Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo.

Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia mifumo ya fahamu ya kimwili na kiroho.

Mfano; Leo nimeomba anipe wazo la kuandika kitabu cha kiroho. Baada ya Ibada nikabaki nimekaa ninasikilizia. Ghafla nikaanza kupokea maelekezo kwenye fikra. Nikapata jina la kitabu na wazo la kulinawirisha zaidi zaidi hilo jina, na tools za kutumia. Maelekezo yote nimeyaandika kwenye sticknote ya simu KWA ajili ya kulidevelop zaidi hili wazo. Na natarajia kupata maelekezo zaidi katika hili.

Jifunze kumsikiliza Mwenyezi Mungu huwa anaongea. Jifunze kupokea maagizo na maelekezo baada ya maombi yako.

Hii itakusaidia sana.

Mstari huu ukutafakarishe zaidi. Wengine wanasikia ila wanapuuza.

Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia.

Mithali 10:8

NI HICHO TU
Mtumishi Matunduizi
Asante kwa kutujuza mkuu.
 
Unatofautishaje kuwa hii ni sauti ya Mungu, Shetani au mawazo yako binafsi?
 
Naunga mkono;nadhani tunakosea maombi yetu mengi ni ya kumwagiza Mungu atufanyie hiki au kile lakini hatusikilizi mapenzi yake.Tunahitaji kujifunza
 
Mungu anasema mtoto wake akiomba samaki hampi nyoka.
LA Mungu linaendana na KANUNi ambazo tayari Zipo kwenye maandiko.

shetani mission yake ni kuiba, kuua na kuharibu. Chochote chenye sura hizo tatu kinatoka kwake.

Ya kwako kama umelipata bila kumshirikisha Mungu hata kama ni jema.
 
Naunga mkono;nadhani tunakosea maombi yetu mengi ni ya kumwagiza Mungu atufanyie hiki au kile lakini hatusikilizi mapenzi yake.Tunahitaji kujifunza
Mfano Mtume Paulo alikuwa na hamu sana ya kwenda Asia. Na akaanza safari njiani akakatazwa akaelekezwa sehemu nyingine. Muda wa kwenda Asia alikuwa amekomaa zaidi maana kule kulikuwa na changamoto kubwa iliyohitaji awe fiti kuliko wakati analazimisha kwenda.

Ukifuata maelekezo unajikwea matatizo MENGI sana
 
Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.

Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo.

Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia mifumo ya fahamu ya kimwili na kiroho.

Mfano; Leo nimeomba anipe wazo la kuandika kitabu cha kiroho. Baada ya Ibada nikabaki nimekaa ninasikilizia. Ghafla nikaanza kupokea maelekezo kwenye fikra. Nikapata jina la kitabu na wazo la kulinawirisha zaidi zaidi hilo jina, na tools za kutumia. Maelekezo yote nimeyaandika kwenye sticknote ya simu KWA ajili ya kulidevelop zaidi hili wazo. Na natarajia kupata maelekezo zaidi katika hili.

Jifunze kumsikiliza Mwenyezi Mungu huwa anaongea. Jifunze kupokea maagizo na maelekezo baada ya maombi yako.

Hii itakusaidia sana.

Mstari huu ukutafakarishe zaidi. Wengine wanasikia ila wanapuuza.

Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia.

Mithali 10:8

NI HICHO TU
Mtumishi Matunduizi
Du
 
Back
Top Bottom