matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Asante kwa kutujuza mkuu.Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.
Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo.
Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia mifumo ya fahamu ya kimwili na kiroho.
Mfano; Leo nimeomba anipe wazo la kuandika kitabu cha kiroho. Baada ya Ibada nikabaki nimekaa ninasikilizia. Ghafla nikaanza kupokea maelekezo kwenye fikra. Nikapata jina la kitabu na wazo la kulinawirisha zaidi zaidi hilo jina, na tools za kutumia. Maelekezo yote nimeyaandika kwenye sticknote ya simu KWA ajili ya kulidevelop zaidi hili wazo. Na natarajia kupata maelekezo zaidi katika hili.
Jifunze kumsikiliza Mwenyezi Mungu huwa anaongea. Jifunze kupokea maagizo na maelekezo baada ya maombi yako.
Hii itakusaidia sana.
Mstari huu ukutafakarishe zaidi. Wengine wanasikia ila wanapuuza.
Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia.
Mithali 10:8
NI HICHO TU
Mtumishi Matunduizi
Unatofautishaje kuwa hii ni sauti ya Mungu, Shetani au mawazo yako binafsi?Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.
Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo.
Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia mifumo ya fahamu ya kimwili na kiroho.
Mfano; Leo nimeomba anipe wazo la kuandika kitabu cha kiroho. Baada ya Ibada nikabaki nimekaa ninasikilizia. Ghafla nikaanza kupokea maelekezo kwenye fikra. Nikapata jina la kitabu na wazo la kulinawirisha zaidi zaidi hilo jina, na tools za kutumia. Maelekezo yote nimeyaandika kwenye sticknote ya simu KWA ajili ya kulidevelop zaidi hili wazo. Na natarajia kupata maelekezo zaidi katika hili.
Jifunze kumsikiliza Mwenyezi Mungu huwa anaongea. Jifunze kupokea maagizo na maelekezo baada ya maombi yako.
Hii itakusaidia sana.
Mstari huu ukutafakarishe zaidi. Wengine wanasikia ila wanapuuza.
Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia.
Mithali 10:8
NI HICHO TU
Mtumishi Matunduizi
Kusali ni Lugha ya jumla.Na unaweza usisali ila ukapokea maelekezo toka kwake muda wowote
Shika linalokufaidishaMambo ni mengi kwenye hizi imani mpk unashindwa ushike lipi
Naunga mkono;nadhani tunakosea maombi yetu mengi ni ya kumwagiza Mungu atufanyie hiki au kile lakini hatusikilizi mapenzi yake.Tunahitaji kujifunzaKusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.
Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo.
Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia mifumo ya fahamu ya kimwili na kiroho.
Mfano; Leo nimeomba anipe wazo la kuandika kitabu cha kiroho. Baada ya Ibada nikabaki nimekaa ninasikilizia. Ghafla nikaanza kupokea maelekezo kwenye fikra. Nikapata jina la kitabu na wazo la kulinawirisha zaidi zaidi hilo jina, na tools za kutumia. Maelekezo yote nimeyaandika kwenye sticknote ya simu KWA ajili ya kulidevelop zaidi hili wazo. Na natarajia kupata maelekezo zaidi katika hili.
Jifunze kumsikiliza Mwenyezi Mungu huwa anaongea. Jifunze kupokea maagizo na maelekezo baada ya maombi yako.
Hii itakusaidia sana.
Mstari huu ukutafakarishe zaidi. Wengine wanasikia ila wanapuuza.
Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia.
Mithali 10:8
NI HICHO TU
Mtumishi Matunduizi
Mungu anasema mtoto wake akiomba samaki hampi nyoka.Unatofautishaje kuwa hii ni sauti ya Mungu, Shetani au mawazo yako binafsi?
Mfano Mtume Paulo alikuwa na hamu sana ya kwenda Asia. Na akaanza safari njiani akakatazwa akaelekezwa sehemu nyingine. Muda wa kwenda Asia alikuwa amekomaa zaidi maana kule kulikuwa na changamoto kubwa iliyohitaji awe fiti kuliko wakati analazimisha kwenda.Naunga mkono;nadhani tunakosea maombi yetu mengi ni ya kumwagiza Mungu atufanyie hiki au kile lakini hatusikilizi mapenzi yake.Tunahitaji kujifunza
Mshike KristoMambo ni mengi kwenye hizi imani mpk unashindwa ushike lipi
DuKusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.