King Victor
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 463
- 293
Umeona nini?Aisee
😀😀😀Mkuu umenikumbusha ule wimbo...yaani vanessa mdee ananiuaga kabisa kila nikiskia 'baki na hamu zako' lazma nidindishe
Dar leo je?Gazeti la alasiri lilifungiwa mkuu
Mbona kama umepanik ndugu...!!?Mod naombeni mtoe huu uzi sticky kwani unapotosha au ufutwe unasambaza chuki za kibiashara.
Nachoona mimi huyu ndugu hataki wenzie wafanikiwe kwa vile yeye kaliwa anataka na wengine waliwe ndio maana naona utolewe tu.Mbona kama umepanik ndugu...!!?
Kama wewe unaona huu uzi haukufai lakini wengine unawafaa!!!!!....
Hapana ndugu utakuwa umemuelewa vibaya.....iwe yeye kafanikiwa au kapata hasara ila tu mzizi wa uzi wake ni kuwa watu wasiwe na matarajio makubwa ya kupata faida muda wote kwenye biashara bali wakati mwingine na hasara huwepo ingawa sio matarajio ya anayefanya biashara.....Nachoona mimi huyu ndugu hataki wenzie wafanikiwe kwa vile yeye kaliwa anataka na wengine waliwe ndio maana naona utolewe tu.
Angetoa tuu kama onyo sio kwa hasira namna hiyo.Hapana ndugu utakuwa umemuelewa vibaya.....iwe yeye kafanikiwa au kapata hasara ila tu mzizi wa uzi wake ni kuwa watu wasiwe na matarajio makubwa ya kupata faida muda wote kwenye biashara bali wakati mwingine na hasara huwepo ingawa sio matarajio ya anayefanya biashara.....
Hivyo kuwa na matarajio makubwa ya faida upelekea mshttuko wa moyo pindi upatapo hasara!!!!....
Ndio maana akasema kama wewe unaogopa hasara basi usifanye kabisa biashara baki na hela zako!!!