Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Baridi ni kali mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya nadhani imezidi nimepika maharage Leo Siku ya nne hayajachacha hataKwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbeya nadhani imezidi nimepika maharage Leo Siku ya nne hayajachacha hata
labda sisi tumeizoea maana jana nimekaa club moja tena nje nimekunywa kvant hadi saa tisa usiku na sina hata koti..Mbona mimi nipo Arusha kwa kipindi kirefu na hali ni ya kawaida tu kama mwaka jana au umetokea Dar ?
Msimu wa wauzaji wa majaketi, makoti na masweta kufaidiKwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Wenye ngiri maji taarifa iwafikieKwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Leo siongei habari za Cape town naongea za Arusha.Mtoa mada ushawahi kufika japo hata cape town south África?usingesema Tanzania kuna baridi!!ushawahi kukutana na maximum nyuzi joto 5?
Na tunaoishi Makete, Niombe,Mafinga na Busokelo tutasemaje?Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Mimi chuga na njombe kote nimefika...chuga ikasome...sasa kuna Mufindi! Miez ya 6 had oct hakufaiUliwahi enda Njombe Mkuu?
Nadhani anaisikia tu, akifika Njombe aende Kitulo pia halafu aje na mrejeshoUliwahi enda Njombe Mkuu?