Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

Mkuu kwa Tanzania njombe inaongoza kwa baridi nakumbuka miaka ya nyuma nilienda njombe nikafua jeans yangu haikukauka week 2 [emoji2][emoji2]
Ni kweli Mkuu, Kitulo ni sehemu ya Njombe pia, ndiko lilikuwepo shamba la serikali la kondoo wa sufu
 
Muanzisha mada utakuwa mgeni wa Arusha... Hapa bado haijakolea vizuri.

Mmeru ndio kwanza anaanza
 
baridi ipo lkn sio kivile sn...june katikati hpo tutaanza kutafutana... baridi yake huwa inapenya hadi kwenye mifupa
 
Back
Top Bottom