Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mbeya nadhani imezidi nimepika maharage Leo Siku ya nne hayajachacha hata
Kweli kabsaa huko nimefika barid lake sio kidogoMimi chuga na njombe kote nimefika...chuga ikasome...sasa kuna Mufindi! Miez ya 6 had oct hakufai
Usisahau kuitaja Kitulo kipekee MkuuNa tunaoishi Makete, Niombe,Mafinga na Busokelo tutasemaje?
πKwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Mbeya nadhani imezidi nimepika maharage Leo Siku ya nne hayajachacha hata
Mkuu kwa Tanzania njombe inaongoza kwa baridi nakumbuka miaka ya nyuma nilienda njombe nikafua jeans yangu haikukauka week 2 [emoji2][emoji2]Nadhani anaisikia tu, akifika Njombe aende Kitulo pia halafu aje na mrejesho
Ni kweli Mkuu, Kitulo ni sehemu ya Njombe pia, ndiko lilikuwepo shamba la serikali la kondoo wa sufuMkuu kwa Tanzania njombe inaongoza kwa baridi nakumbuka miaka ya nyuma nilienda njombe nikafua jeans yangu haikukauka week 2 [emoji2][emoji2]
Mimi chuga na njombe kote nimefika...chuga ikasome...sasa kuna Mufindi! Miez ya 6 had oct hakufai
Nadhani anaisikia tu, akifika Njombe aende Kitulo pia halafu aje na mrejesho
Ndiyo mkuuNi kweli kabisa. Njombe sio lelemama.
Hivi wewe ndio Manengelo??
π π πMbeya nadhani imezidi nimepika maharage Leo Siku ya nne hayajachacha hata
Dah umenikumbusha mbali sana, makete balaaa, sidhani kama kuna wilaya ina baridi kama hiyo.Mimi natokea Makete nakuja Arusha. Unanitahadharisha?