Kama unataka kifo cha haraka jichanganye kwamba unajua mapenzi uoe "Feminist"

Haha sicheki kama mazuri, ila nakumbuka yalimkuta mtu wa karibu kabisa. Mdada wa kanisani, mwanzoni alikuwa mnyenyekevu, baada ya kukosa kazi , alipokuja kupata akageuka full blown feminist, bro alikula msoto pro max. Ana hela lakini alikuwa kakonda, pressure stress akawa mlevi.
Mungu saidia yule dada alikuja sitishwa kazi, akarudi kuwa mpole. Ila bro hakumsamehe

Alipelekwa puta mbaya mbovu πŸ˜‚
 
Feminist wengi wana chuki ni jinsia me, hata uwabembeleze je watatafuta sababu za kukutesa ni hateri sanaa
 
Feminist wengi wana chuki ni jinsia me, hata uwabembeleze je watatafuta sababu za kukutesa ni hateri sanaa
Wakati unakuwa na mwanamke chunguza familia, relation yake na baba ake, au ndugu zake wa kiume. The way anavyo wa treat hao, au kama baba alikuwa mkatili kwao na kwa mama, basi atakuwa akiwa defensive

Is why hata akikosa uka point , ni bora afe kuliko kukubali kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…