Kama unataka kifo cha haraka jichanganye kwamba unajua mapenzi uoe "Feminist"

Kama unataka kifo cha haraka jichanganye kwamba unajua mapenzi uoe "Feminist"

Kuna matatizo ya kujitakia na matatizo ya kutokea tu, ila kama unataka kuona kila aina ya rangi ya mwanamke, kaoe feminist activists, nili mshauri brother hairishe ndoa na huyu mwanamke "femanist" hakunisikia lakini sasa ona amekimbia nyumba yake aliojenga kwa miaka 15, kwa mikopo ya kazini, kakimbia na kupanga chumba na sebule Mbezi mwisho, ukimuuliza kulikoni anaguna tu na kuondoka, ila taarifa zote tumezipate kutoka kwa rafiki yake mke wake duh.......
Haha sicheki kama mazuri, ila nakumbuka yalimkuta mtu wa karibu kabisa. Mdada wa kanisani, mwanzoni alikuwa mnyenyekevu, baada ya kukosa kazi , alipokuja kupata akageuka full blown feminist, bro alikula msoto pro max. Ana hela lakini alikuwa kakonda, pressure stress akawa mlevi.
Mungu saidia yule dada alikuja sitishwa kazi, akarudi kuwa mpole. Ila bro hakumsamehe

Alipelekwa puta mbaya mbovu ๐Ÿ˜‚
 
Alipelekwa puta mbaya mbovu [emoji23]
Feminist wengi wana chuki ni jinsia me, hata uwabembeleze je watatafuta sababu za kukutesa ni hateri sanaa
 
Feminist wengi wana chuki ni jinsia me, hata uwabembeleze je watatafuta sababu za kukutesa ni hateri sanaa
Wakati unakuwa na mwanamke chunguza familia, relation yake na baba ake, au ndugu zake wa kiume. The way anavyo wa treat hao, au kama baba alikuwa mkatili kwao na kwa mama, basi atakuwa akiwa defensive

Is why hata akikosa uka point , ni bora afe kuliko kukubali kosa
 
Back
Top Bottom