Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

[emoji23][emoji23] aaah weee lazima upigwe mshangao sababu sio kawaida msichana kufanya hivo.
 
wanaume wanajiona tongoza tongoza wanajiamini....ikitokea yeye katongozwa utaona atakavyokuwa mwoga kama toto
 
Uzi tayari
 
Hahahahah....kesho yake akiniona ananiogopa atadhani ntamsemea kwa wenzake kwamba jamaa mwoga.....hata awe brazameni kivipi atazima fegi
 
Ewa umekuja jamani nasikia mkitongozwagwa mnakuwa kama watoto wa darasa la tatu sasa m8e nakutongoza tuone kama utang'ata kucha au nguo
yaan utacheka mpaka usiku ukiwa umelala kinakuja kicheko jinsi brazamen anavyotatanika
 
hapo ungemkuta umtazame machoni live live bila chenga anakwepesha macho na kujifanya ana ratiba kama Kassim Majaliwa
 
Angezimia yaan tena umpe hii akiwa NOTES BOARD kumejaa watu wameshonana kusoma ratiba kipindi kile kabla ya kizazi cha ratiba online....enzi zetu
 
Dah inakuwanga amazing and so proud sometimes unajidekeza dekeza hasa kwa sisi madomo zege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…