Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah umenikumbusha mbali sana , asante kwa kunitengenezea siku ya furaha .
 
Huyo huyo mjanja siku hiyo hataamini kama kawa bwege kashindwa to turn the discussion on his benefits, atabakia kukupa ahadi, na excuse nyingi.....na sisi tulikuwa tunakomalia hapohapo yaan hata mbele ya darasa tena tunamtongoza akiwa na wenzake wanasikia
 
We ulikuwa unatania, Yani unamtongoza mtu mbele ya watu? Ushawahi kuona wapi? Mbananishe kichochoroni au mualike getto, mpikie supu ya pweza, vaa kanga moja halafu anza kumtongoza🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…