Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Ajichanganye mtu anitongoze aone!
 
Napenda kufanyiwa hit and run na mwanamke alafu aniharibie maisha , mimi sijui kukataa nikitongozwa kichwa rungu wangu anapenda kulowekwa sana na kuharibiwa maisha.

Njoeni mnitongoze mniharibie maisha , mni hit na m-run
 
Ungeweka basi mfano angalau mmoja. Mjibizano wa maneno, alivyokuwa anauma uma vidole nk..
 
Hahaha! Kumbe unachokifanya ni kuhakikisha hampo kwenye mazingira yanayoruhusu kazi!

Kwa mazingira hayo ntakupa mipapaso ya kuibia mpaka uniogope! Nitakuwa na tahadhari sana, lakini nitafanya namna niingize mkono nishike chuchu ya titi ili uwe mbali nami.😂

Dharau hujibiwa kwa vitendo,
 
Ajichanganye mtu aone.
 
Nakamwambiaje....karibu 99% ya wanaume walibabaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…