Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kuna sehemu wanawake wanatongoza wnaume kama Bongo hasa Dar?. Ni kwamba utongozaji wao sio huu wa maneno. Wanatongoza kwa matendo. Au wewe unadhani kutongoza mpaka aseme kwa mdomo?
 
Wanajiumauma hatariii.....tena ukimwotea yupo eneo la wazi kama assemble point kuna movement nyingi atababaika kama kaona mafuriko ya libya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] sio mimi hebu nitongonzwe na pisi kali niionyeshe nini cha kufanya on the spot [emoji375][emoji375][emoji375]
 
Labda ulikuwa na kibamia mkuu au zile show mbovu za dakika2 chalii
Maybe....but Niliongea na rafiki yake akanijaza ukweli wote, yule demu alikuwaga Tom boy sasa alivokuja kujipata ndo akaanza hizo tabia za kutongoza wanaume na kulala nao.
Ni kama vile alikuwa anajaribu ku-prove kwamba she is capable of being loved.
Alikuwa hayupo sawa, nahic ni trauma.
 
Sidanganyikiiii!
Ninachokisema unakijua vizuri zaidi ya mimi msemaji, lini tena nilianza tabia ya kukuongopea wewe, tabia isiyompendeza mungu.
Usinikasirikie kipenzi mpaka malaika wataninunia ukinikasirikia mamii.


"Mimi nakupenda wewe,
Unanipa kiwewe,
Ubavu wangu wa pili ni wewe.
Niamini, nielewe.."
Niamini by HBC..
 
Miaka 10 mbona michache sana yaani kusema ulichosema kawaida kuwa na mwanamke ulimzidi miaka 10 mimi nikimpelekaga hospital mdogowangu niliyemzidi miaka 10 maswali ya madokta yanakuwa mengi "Ni mkeo Ni mkeo"
 
Sitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…