Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kila la heri kwa huyo mwamba😅 atabahatikaWacha nitajaribu then nitaleta mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri kwa huyo mwamba😅 atabahatikaWacha nitajaribu then nitaleta mrejesho
Katika umri upi Sasa ulianza kudate? Na vipi hayo malengo uliyolinda yalotimia kweli?Nishawakataa wadada zaidi ya wawili waliokuja kunitongoza. Hii kitu kipo.
Sikuweka focus kubwa sana kwenye mahusiano, niliwaona kama wataharibu malengo yangu.
Sema mimi hata ukiwa pisi ntakuchomolea kwanza then ntasubili respond yako kwa siku za baadaeWewe ukiona mdada anatongoza livelive ujue anajiamini na ameshajipimia
🤣🤣 AsanteeKila la heri kwa huyo mwamba😅 atabahatika
Kuna sehemu wanawake wanatongoza wnaume kama Bongo hasa Dar?. Ni kwamba utongozaji wao sio huu wa maneno. Wanatongoza kwa matendo. Au wewe unadhani kutongoza mpaka aseme kwa mdomo?Kutongoza ni namna ya kushawishi mtu kuhusu jambo fulani. Kwahiyo hata mwanamke kumtongoza mwanaume si kwa ubaya Kama wengi wanavyo dhani.
Ni jambo la kawaida tu kumweleza mtu hisia zako, na utegemee matokeo mawili ukubaliwe au ukataliwe. Ingawaje sio utamaduni wetu wengi kwa maisha ya watanzania, mwanamke kumtongoza mwanaume.
😳😳
Sidanganyikiiii!Kipenzi changu, unanijua nilivyo na aibu, kwanza demu ananisimaisha uchochoroni naanzaje kusimama, mtu ajaribu kunitongoza naanzaje kukaa kimya bila kukwambia...
Huyo anataka kuuchezea uume wangu 😐😐 oops sorry ni uanaume wangu 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] sio mimi hebu nitongonzwe na pisi kali niionyeshe nini cha kufanya on the spot [emoji375][emoji375][emoji375]Wanajiumauma hatariii.....tena ukimwotea yupo eneo la wazi kama assemble point kuna movement nyingi atababaika kama kaona mafuriko ya libya
😂😂Sidanganyikiiii!
Ila kama kweli ni mapepe kama unavyoonekana kwenye comments zako wallahi hata kama unanipenda ukinitongoza nakataaNa mtego wangu ulikuwa hapo hapo
🤣🤣🤣Huyo anataka kuuchezea uume wangu 😐😐 oops sorry ni uanaume wangu 😂
Maybe....but Niliongea na rafiki yake akanijaza ukweli wote, yule demu alikuwaga Tom boy sasa alivokuja kujipata ndo akaanza hizo tabia za kutongoza wanaume na kulala nao.Labda ulikuwa na kibamia mkuu au zile show mbovu za dakika2 chalii
Wewe unafanya kwa nia ya joke kwake, sasa what if anakukubalia na anataka mkayamalize, huwa unarudi mode gani?tulikuwa tukienda direct, sentensi baada ya sentensi and very bold mpaka mkaka anashindwa to control the discussion, tulikuwa hatuachi nafasi ya mkaka to took the control
Ninachokisema unakijua vizuri zaidi ya mimi msemaji, lini tena nilianza tabia ya kukuongopea wewe, tabia isiyompendeza mungu.Sidanganyikiiii!
Jf nawish kuwajua wawili tu huenda akawa ni miongoni mwao 😎🤣🤣🤣
Mpe nafasi, huwezi jua unaweza jiopolea pisi kali hadi ukajuta kuchelewa kumfahamu
Miaka 10 mbona michache sana yaani kusema ulichosema kawaida kuwa na mwanamke ulimzidi miaka 10 mimi nikimpelekaga hospital mdogowangu niliyemzidi miaka 10 maswali ya madokta yanakuwa mengi "Ni mkeo Ni mkeo"Utomboy unaanzaga hvyo hvyo
Kuna binti alikuwa anavaa kiume afu anaenda disco anaanza kutongoza mademu wenzie akawa anafurah kuwaona wanavyotulia kumsikiliza
Nilienda chuo nikawa nasoma na madogo niliowazid miaka kama 10+ sasa kikatokea kibinti kidogo kiumri na kimwili kakanizoea sana kakawa kanakaa na mimi,siku moja kakaniambia kananipenda na brabra kadhaa hadi nilishangaa niliishia kukasapoti tu ila sikukamega
Bac ngoja tuifanyie na lamination kabisaNakazia
Ningepoteana baada ya kumaliza kukukula...hapo ningepatikana...ila navojua kubadili neno kwa neno ungejikuta unapoteana
Sitaki.Ninachokisema unakijua vizuri zaidi ya mimi msemaji, lini tena nilianza tabia ya kukuongopea wewe, tabia isiyompendeza mungu.
Usinikasirikie kipenzi mpaka malaika wataninunia ukinikasirikia mamii.
"Mimi nakupenda wewe,
Unanipa kiwewe,
Ubavu wangu wa pili ni wewe.
Niamini, nielewe.."
Niamini by HBC..