hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Utaniua kwa presha kipenzi changu.. usinifanyie hivyo my oxygen gas..Sitaki.
Yametimia bro.Katika umri upi Sasa ulianza kudate? Na vipi hayo malengo uliyolinda yalotimia kweli?
jaribu hapa kwa mshamba😅
Wacha we!! Ndo sitaki sasa.Utaniua kwa presha kipenzi changu.. usinifanyie hivyo my oxygen gas..
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga
Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....
Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume..wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma....utajichekea mpaka uzimie
Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu
Huyu atakuwa odo 😂😂Mam k kwenye ubora wako[emoji23]
Bado unaupiga mwingi sana.
Ndo maana nakupenda Kaka ake😘 (sijakutongoza hapo)🤣🤣🤣Hii ya leo tuifute, tuanze upya[emoji23]
Haya si umeamua nikufe kwa presha..Wacha we!! Ndo sitaki sasa.
Afadhali umemwambia.We ulikuwa unatania, Yani unamtongoza mtu mbele ya watu? Ushawahi kuona wapi? Mbananishe kichochoroni au mualike getto, mpikie supu ya pweza, vaa kanga moja halafu anza kumtongoza🤣🤣🤣
Wewe maharage ya Mbeya maji mara moja sithubutu!!!
Mama K utakuwa una udugu na kyuti wa Countrywide 😂😂😂Mioyo ilikuwa inawaenda mbio Kwa sababu damu yote ishakimbilia chini🤣
Hao ukiwaambia nakupenda tu wanaloa, unaamsha upwiru🤣 Angalia usije kubakwa tu😂😂😂
Wewe ni hatareee 😂😂😂Uzoefu wangu, sijawahi tongozwa na mtoto wa kike na nikamkatalia, mie ni maharage ya mbeya, sijui kukataa..
Nimnyime ya nini hili RUNGU KIPEPE litakija kuliwa na nyenyere tu
🤣🤣🤣🤣 Cute ni virgo mwenzangu.....we are inborn craizyyyy.....Mama K utakuwa una udugu na kyuti wa Countrywide 😂😂😂
Usinitishee🤣🤣🤣Haya si umeamua nikufe kwa presha..
Do last favour kwangu, kanunue sanda uje univike na uniweke kaburini kabisa,we si unataka nife, haya malizia na kunizika sasa.
Maswali ya msingi, kwanini nimkatalie mrembo wa watu,Wewe ni hatareee 😂😂😂
Hapo ataliwa kimasihara hata kabla hajaanza kupiga swaga.We ulikuwa unatania, Yani unamtongoza mtu mbele ya watu? Ushawahi kuona wapi? Mbananishe kichochoroni au mualike getto, mpikie supu ya pweza, vaa kanga moja halafu anza kumtongoza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]