Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Utomboy unaanzaga hvyo hvyo

Kuna binti alikuwa anavaa kiume afu anaenda disco anaanza kutongoza mademu wenzie akawa anafurah kuwaona wanavyotulia kumsikiliza

Nilienda chuo nikawa nasoma na madogo niliowazid miaka kama 10+ sasa kikatokea kibinti kidogo kiumri na kimwili kakanizoea sana kakawa kanakaa na mimi, siku moja kakaniambia kananipenda na brabra kadhaa hadi nilishangaa niliishia kukasapoti tu ila sikukamega
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan ni ajabu mwanaume kutongozwa na mwanamke??
 
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu

(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko njee, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea)
Kama wewe ni.mweupe usilogwe ukajitongozeshe kanda ya ziwa. siku hiyo hiyo unapata mimba
 
Back
Top Bottom