Kama unataka kufanikiwa kifedha kupitia mama ako basi usisubiri hadi upate hela nyingi. Fanya kama haya

Kusaidia ni kusaidia tuu kwa moyo,Sasa baba umembagua ndio baraka?!

Umeshasema mtu anasaidia kwa Moyo alafu unauliza Baba Kubaguliwa?

Kinachomfanya mtu afanikiwe ni jitihada + bahati(majaliwa)
Mbaya zaidi majaliwa ya Mungu hayazingatii hayo mambo sijui unasaidia Watu au husaidii. Unasaidia wazazi au husaidii,

Unapewa tuu
 
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.

Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.

Siku ukipiga buubaah umpe pia. Yani mtreat kama unavyo watreat watoto wako.

Zamani nilikuwaga kama wewe ndio maana nilikuwaga sina hela kama wewe.

Nilikuwa nasubiri mpaka nipate hela nyingi eti ndio ninampa maza hela.

Ila tangu nilipogundua siri hii na kuanza kuifanyia kazi nimekuwa increased kiuchumi kwa namna ya ajabu sana.

Nimemuweka mama angu kwenye kundi moja na watoto wangu.

Kwa mfano Mimi Kama baba huwaga siwezi kabisa Kula chakula cha kuanzia elfu 7 nje ya nyumbani kwangu bila watoto wangu nao Kula chakula chenye hadhi kama hiyo.

Kama nitapita pale AL URUBA HOTEL kariakoo ( kwa wasomali) halafu nikala supu ya mbuzi( elfu 7) kama nyumbani siku hiyo watakuwa hawajapika walau nyama ya ngombe basi siku hiyo lazima nitapita SHUU BUTCHER au nitaenda MBASHA MEAT SUPLY pale VINGUNGUTI nichukue nyama ya mbuzi kilo 2 niipeleke nyumbani watoto wangu wale. Kwa sababu nitajiona kama vile nimewafanyia dhulma watoto wangu. Sasa hivi nipo hivi hadi kama mama angu. Na tangu nimeanza kuwa hivyo, Mungu ame ongeza rizki yangu kwa viwango vya juu sana.

Hata wewe bado hujachelewa.

Anza leo:

1. Give money to ur mother.

2. Give money to your mother.

3. Give money to your mother.

THANK ME LATER
Asante kwamuongozo,ila tangzo limekaa kimkakati sana,lipia tangazo mkuu.
 
Na ukikwama ndo unaanza kutolewa mifano wa ndg zako au ukimpa aanze kukusifia na kukupendelea kwa kuwabagua ndg zako wasiompa hii nayo mbaya
Hizi familia zetu twende nazo kivyetu vyetu, ukijidai kuzitafutia formula zitakupasua kichwa japo inawezekana kwa wengine mambo yao yamenyooka, ila ndo hivyo wajue yakinyooka kwao sio kwa wote, pengine unaweza toa kwa moyo mwema baadae u
Hii ni imani kama imani zingine

Hakuna uhusiano wa mtu kufanikiwa na kusaidia au kutoa pesa kwa Mama au Baba.

Uwepo wa Watu wanaosaidia wazazi wao akiwemo Mama na bado maisha yao ni magumu kila idara ni moja ya sababu ya kupinga hoja yako.

Wapo pia waliofanikiwa kifedha na wanamaisha ya maana na karibu kila idara wapo vizuri na hawasaidii wazazi akiwemo Mama
Hii yako pia ni imani.
 
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.

Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.

Siku ukipiga buubaah umpe pia. Yani mtreat kama unavyo watreat watoto wako.

Zamani nilikuwaga kama wewe ndio maana nilikuwaga sina hela kama wewe.

Nilikuwa nasubiri mpaka nipate hela nyingi eti ndio ninampa maza hela.

Ila tangu nilipogundua siri hii na kuanza kuifanyia kazi nimekuwa increased kiuchumi kwa namna ya ajabu sana.

Nimemuweka mama angu kwenye kundi moja na watoto wangu.

Kwa mfano Mimi Kama baba huwaga siwezi kabisa Kula chakula cha kuanzia elfu 7 nje ya nyumbani kwangu bila watoto wangu nao Kula chakula chenye hadhi kama hiyo.

Kama nitapita pale AL URUBA HOTEL kariakoo ( kwa wasomali) halafu nikala supu ya mbuzi( elfu 7) kama nyumbani siku hiyo watakuwa hawajapika walau nyama ya ngombe basi siku hiyo lazima nitapita SHUU BUTCHER au nitaenda MBASHA MEAT SUPLY pale VINGUNGUTI nichukue nyama ya mbuzi kilo 2 niipeleke nyumbani watoto wangu wale. Kwa sababu nitajiona kama vile nimewafanyia dhulma watoto wangu. Sasa hivi nipo hivi hadi kama mama angu. Na tangu nimeanza kuwa hivyo, Mungu ame ongeza rizki yangu kwa viwango vya juu sana.

Hata wewe bado hujachelewa.

Anza leo:

1. Give money to ur mother.

2. Give money to your mother.

3. Give money to your mother.

THANK ME LATER
Kwann mama na si baba? Au wote wawili?
 
Anglia Tu na chunga usije kumlisha hela ya mazabe, usije ukathubutu kufosi ukamlisha hela ya deal (upigaji) Chambi huyo huna pa kuiweka.
 
Muwape tu Hela ndio wakati wenu,
RIP my parents am not responsible to anyone Hela yangu ni yangu na watoto wangu Kuna muda natamani wangekuwepo niwatumie.
Waendelee kupumzika kwa amani wazazi wetu.
Hii mada haituhusu sisi tusiokuwa na wazazi. Ila kama wazazi nao wana uwezo wao je manake kama mimi mama alifariki nikwa drs la saba, baba alifariki nikiwa chuo kikuu mwaka wa 2 ila nakumbuka Baba yangu alikuwa ananiambia soma kwa ajili ya manufaa yako wewe na watoto wako utakaowapata usitegemee utakuja nisaidia au usijilemaze kwa mali zangu sikuwaga nafikiria nasoma ili nije nimsaidie kifedha msure wangu aisee .
All in all maisha ni tofauti na tunatoka background tofautitofauti.
Mwisho vijana tuendeleze struggles za maisha ili Mungu akitubariki tukifika uzeeni tusitegemee kupewa fedha za matumizi na watoto wetu
 
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.

Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.

Siku ukipiga buubaah umpe pia. Yani mtreat kama unavyo watreat watoto wako.

Zamani nilikuwaga kama wewe ndio maana nilikuwaga sina hela kama wewe.

Nilikuwa nasubiri mpaka nipate hela nyingi eti ndio ninampa maza hela.

Ila tangu nilipogundua siri hii na kuanza kuifanyia kazi nimekuwa increased kiuchumi kwa namna ya ajabu sana.

Nimemuweka mama angu kwenye kundi moja na watoto wangu.

Kwa mfano Mimi Kama baba huwaga siwezi kabisa Kula chakula cha kuanzia elfu 7 nje ya nyumbani kwangu bila watoto wangu nao Kula chakula chenye hadhi kama hiyo.

Kama nitapita pale AL URUBA HOTEL kariakoo ( kwa wasomali) halafu nikala supu ya mbuzi( elfu 7) kama nyumbani siku hiyo watakuwa hawajapika walau nyama ya ngombe basi siku hiyo lazima nitapita SHUU BUTCHER au nitaenda MBASHA MEAT SUPLY pale VINGUNGUTI nichukue nyama ya mbuzi kilo 2 niipeleke nyumbani watoto wangu wale. Kwa sababu nitajiona kama vile nimewafanyia dhulma watoto wangu. Sasa hivi nipo hivi hadi kama mama angu. Na tangu nimeanza kuwa hivyo, Mungu ame ongeza rizki yangu kwa viwango vya juu sana.

Hata wewe bado hujachelewa.

Anza leo:

1. Give money to ur mother.

2. Give money to your mother.

3. Give money to your mother.

THANK ME LATER
Daah toka nikujue LIKUD ,Leo ndo nmekutia heshima.
 
Watoto unawahudumia, wanachukulia sawa tu. Ila Mama yako, nina imani hakosi kukutaja akiwa katika maombi yake!
 
Waendelee kupumzika kwa amani wazazi wetu.
Hii mada haituhusu sisi tusiokuwa na wazazi. Ila kama wazazi nao wana uwezo wao je manake kama mimi mama alifariki nikwa drs la saba, baba alifariki nikiwa chuo kikuu mwaka wa 2 ila nakumbuka Baba yangu alikuwa ananiambia soma kwa ajili ya manufaa yako wewe na watoto wako utakaowapata usitegemee utakuja nisaidia au usijilemaze kwa mali zangu sikuwaga nafikiria nasoma ili nije nimsaidie kifedha msure wangu aisee .
All in all maisha ni tofauti na tunatoka background tofautitofauti.
Mwisho vijana tuendeleze struggles za maisha ili Mungu akitubariki tukifika uzeeni tusitegemee kupewa fedha za matumizi na watoto wetu
Pole kwa kuondokewa na Mama mapema hivyo!
 
Asante sana ndugu alifariki ghafla sana akiwa bado mdogo yaani alikuwa 33 baada ya msiba nikaenda sekondary boarding huko ilikuwa kila nikimkumbuka machozi yananitoka najitenga na wenzangu naenda pembeni naliaa wee hadi basi ilinichukua almost mwezi mzima kuacha kulia kila nikimkumbuka.
Mama alikuwa ananipenda kulipo my sisters alikuwa anawaambi sister zangu kwamba mimi ndiye mlinzi wake alikuwa aniachi kila akienda kula bata zake hadi baba alikuwa anakasirika kuna siku msure alinifuma redhended nipo nakunywa glass ya bia ya mama wakati soda yangu ipo pembeni hapo bar . Mama alikuwa na kawaida ya kutoka na mimi kama hajatoka na msure ma sister walikuwa wakimind wanaambiwa mimi mlinzi wake (her only son) wao wakae nyumbani wapike.
Waendelee kupumzika kwa amani wazazi wangu.
Ila ndugu You are not man enough kama hujafiwa na wazazi
Ambao bado mnawazazi wenu Mshukuruni sana Mungu . Hii mada imenifikirisha mbali hivi ukiwa na mke or mume na watoto halafu wazazi wako wapo hai upendo kwa wazazi si unaweza kupungua manake nimeona mtoa mada kamuweka mama yake kundi moja na watoto wake kwenye kuwapa hela wote sawasawa inawezekana vipi mtoto wako na mama yako mzazi wakawa na matumizi sawa ya fedha inafikirisha kidogo, kwa hiyo walio na wazazi hai ili wafanikiwe lazima wampatie mama yao fedha je sisi tusiokuwa na wazazi wa kuwapatia fedha hatuwezi kufanikiwa? Je baba kama yupo hai yeye hatakiwi kupewa fedha ili ufanikiwe?
 
Muweke kwenye fungu moja na watoto wako na familia yako. Yani kama ni hela ya matumizi basi uwe unampigia hesabu ya kila siku.

Kama unapanga kuwa una mpa lets say elfu 20 kila siku au lets say elfu kumi kila siku basi uwe unampa kila siku au kama unampa kwa wiki basi umpe kwa wiki.

Siku ukipiga buubaah umpe pia. Yani mtreat kama unavyo watreat watoto wako.

Zamani nilikuwaga kama wewe ndio maana nilikuwaga sina hela kama wewe.

Nilikuwa nasubiri mpaka nipate hela nyingi eti ndio ninampa maza hela.

Ila tangu nilipogundua siri hii na kuanza kuifanyia kazi nimekuwa increased kiuchumi kwa namna ya ajabu sana.

Nimemuweka mama angu kwenye kundi moja na watoto wangu.

Kwa mfano Mimi Kama baba huwaga siwezi kabisa Kula chakula cha kuanzia elfu 7 nje ya nyumbani kwangu bila watoto wangu nao Kula chakula chenye hadhi kama hiyo.

Kama nitapita pale AL URUBA HOTEL kariakoo ( kwa wasomali) halafu nikala supu ya mbuzi( elfu 7) kama nyumbani siku hiyo watakuwa hawajapika walau nyama ya ngombe basi siku hiyo lazima nitapita SHUU BUTCHER au nitaenda MBASHA MEAT SUPLY pale VINGUNGUTI nichukue nyama ya mbuzi kilo 2 niipeleke nyumbani watoto wangu wale. Kwa sababu nitajiona kama vile nimewafanyia dhulma watoto wangu. Sasa hivi nipo hivi hadi kama mama angu. Na tangu nimeanza kuwa hivyo, Mungu ame ongeza rizki yangu kwa viwango vya juu sana.

Hata wewe bado hujachelewa.

Anza leo:

1. Give money to ur mother.

2. Give money to your mother.

3. Give money to your mother.

THANK ME LATER
Vipi kuhusu Baba yako, au yeye hapswi kupewa mgao?
 
Back
Top Bottom