Kama unataka kufilisika kibiashara fanya au ajiri mtu kutoka kanda ya ziwa

Kama unataka kufilisika kibiashara fanya au ajiri mtu kutoka kanda ya ziwa

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni suala la kawaida tu kwao au kukuroga ili uweze kufeli kibiashara ni kawaida kwanza hawa watu wana wivu, majungu na roho mbaya aisee nimejuta sirudii tena kufanya biashara au kuwqjiri hawa watu bila niajiri mtu kutoka Tabora kidogo Wana utu ila sio hawa akina Baghosha na akina mayo aisee msiseme sijawaammbia kuweni makini na hawa watu aisee.
 
Ww itakua umebakwa ama umelawitiwa na mtu wa kanda ya ziwa..hasira zako usizilete kwa ukanda mzima..Tz hii watu wa kanda ya ziwa wanasifika kwa kazi na upambanaji ndo maana tuko mikoa yote tz na tunapambana kweli kweli.Ila km ww ulikua unafanya kazi ya kuuza kinyeo na mtu wa kanda ya ziwa lazima akufelishe maana sisi hayo mambo hatuna🖕
 
Mkuu wewe pamabana na majanga Yako tu na huyo mtu wako, kuhukumu Ukanda wote kisa mtu mmoja ambaye amekufelisha siyo sawa.

Unaweza kuajiri mtu kutoka Kanda ya Kusini na bado ukafilisika, na unaweza kufanya biashara zako mwenyewe na bado ukafilisika.

Pamoja na yote pole Kwa majanga
 
Ww itakua umebakwa ama umelawitiwa na mtu wa kanda ya ziwa..hasira zako usizilete kwa ukanda mzima..Tz hii watu wa kanda ya ziwa wanasifika kwa kazi na upambanaji ndo maana tuko mikoa yote tz na tunapambana kweli kweli.Ila km ww ulikua unafanya kazi ya kuuza kinyeo na mtu wa kanda ya ziwa lazima akufelishe maana sisi hayo mambo hatuna🖕
Kinampwitapwita huyu mshenzz
 
Kawezwa kweli,saiz kichwani mwake anaiwaza kanda ya ziwa tu, kila akilala,akiamka kanda ya ziwa, kwakweli wameweza kutunyooshea lofa mmoja huyu😂😂
Umefanya nimecheka kwa nguvu sana😂💔 kuna watu wanapiga watu matukio aisee! Yani kila akiwaza anakataa🤦🏽‍♀️ Haijamuingia vzr huyu! Nina uhakika sio la kitoto hili jambo🤣 kijana halali siku ya 3 sasa anaiwaza kanda nzima! Nami mtu si anipige tukio nihame kabisa Tz😃
 
Una biashara ngapi?
Umeajiri watu wa kanda ngapi,kiasi cha kulinganisha hizi kanda?

Mkuu tabia ya mtu mmoja isikufanye ukawajudge watu wote,
Heshimu watu wote.

Kila mtu ana madhaifu yake.
 
Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni swala la kawaida tu kwao au kukuroga ili uweze kufeli kibiashara ni kawaida kwanza hawa watu wana wivu,majungu na roho mbaya aisee nimejuta sirudii tena kufanya biashara au kuwqjiri hawa watu bila niajiri mtu kutoka Tabora kidogo Wana utu ila sio hawa akina Baghosha na akina mayo aisee msiseme sijawaammbia kuweni makini na hawa watu aisee
Ni kweli ila sio kanda nzima kuna makabila ya kanda ya ziwa ni waajabu sana wana wivu uchawi wizi fitna hawataki mtu kuwazidi af wavivu kikazi, hata ukiwa boss wake anataka uwe chini yake vikabila kama Wakerewe wajita wa zinza wa Kara nk hao watu uchawi na fitna ni kwao, ila kwa wasukuma utakua unawaonea in individual case, ni watu peace sana huogopa mali za mtu.
 
Back
Top Bottom