Kama unataka kufilisika kibiashara fanya au ajiri mtu kutoka kanda ya ziwa

Kama unataka kufilisika kibiashara fanya au ajiri mtu kutoka kanda ya ziwa

Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni suala la kawaida tu kwao au kukuroga ili uweze kufeli kibiashara ni kawaida kwanza hawa watu wana wivu, majungu na roho mbaya aisee nimejuta sirudii tena kufanya biashara au kuwqjiri hawa watu bila niajiri mtu kutoka Tabora kidogo Wana utu ila sio hawa akina Baghosha na akina mayo aisee msiseme sijawaammbia kuweni makini na hawa watu aisee.
tembelea na nyanda za juu kusini utaludi kuwaomba samahani hao.
 
Back
Top Bottom