YJS
Member
- Jan 3, 2018
- 18
- 40
point dhaifu bro, ina depend na how una manage kazi yako, chotara ama kuloier wanaweza kuwa biashara tena yenye tija kubwa sana, na layers ama broilers wanaweza pia kuwa biashara nzuri, kitu kuitwa biashara inategemea na how una manage kazi yako sokoni.Kwanza ieleweke kwamba kuku chotara ni kwa ajili ya kupunguza umasikini na si kwa ajili ya Biashara.
Ukisoma hata andiko la ku introduce Kuroiler kule Uganda ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na umasikini kule Uganda.
KWA NINI SIO MBEGU ZA BIASHARA?
1. kwanza ni performance yao kwenye utagaji kuwa ni ndogo kiasi kwamba haowezi kidhi demand.
2. Ukuaji wao pia.
3. Ni breeds ambazo hazitaki kuzaliana na hapo ndo kosa kubwa sana linapo fanyika.
COMMERCIA BREEDS.
1. Layers
2. Broiler.
Hawa ndo kuku wa biashara achana na story sijui za.kubeba tenga la kuku kutoka vijijini kuja sokoni.
Layers ni kuku wa mayai na mayai yao ndo the most consumed mjini. Na production yao iko juu pia.
Mayai ya layers yanatumika sehemu zifuatazo.
1. Bekary au watengeneza keki.
2. Chips
3. Viwandani.
4. Mahotelini.
Usitarajie eti kiwanda cha keki kiahize mayai ya kienyeji kutengenezea keki never.
BROILER- Hawa ndo kuku wenye soko kubwa na wanao liwa kwa wingi sana.
Kama unataka kupunguza umasikini fuga Kuku chotara ila kama unataka kufanya biashara fuga kuku wa mayai au wa nyama wa kisasa.
point ya ku note, wewe kama ni mjasilia mali, usitegemee tu kuku eti ndio iwe njia yako pekee ya kukupatia kipato, kuwa na vyanzo vingi vya ela, kuwa na shughuri zaidi ya moja..unaweza sema broilers ndio kuku wazuri kufuga ila soko likiyumba utaona ugumu na hasara yake, ama layers wakitaga chini ya kiwango utaona radha ya hasara inavyokuwa, mimi nahisi labda wewe passion yako ni layers na broilers but wapo watu wanafanya chotara au kuloiers na wana enjoy kipato chao,
fuga kuku, ingia shambani lima, nenda dukani weka bidhaa mpya, fuga samaki nk sio unakaa na biashara moja tu..hutoendelea kamwe.
nimeandika kwa kifupi ila kama hujaridhika naweza kukupa mfano wa mfugaji wa kuku chotara 500 jinsi alivyokuwa successful kuliko mfugaji wa layers 500, ndio utajua kuwa biashara ni namna unavyo manage kazi yako,
bon chance!