Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

Habar wana JF?

mfugaji naomba ushauri wako juu ya wazo langu la kujiali kupitia ufugaji

Nataka kufuga kuku chotara aina ya Kuroiler kwa lengo la kuwauza nyama wakiwa na miezi 5

Lakini nimeona nikitegemea kununua vifaranga faida itakua ndogo, je changamoto za utotoreshaji wa vifaranga zipo vp? Kuanzia kuwatunza kuku wazazi nk....

Au ninunue vifaranga?
 
Biashara ya kuku inaenda kuwa overexhausted. Kila mtu anataka afuge kuku tu. Where are we going to end?
Usiogope wengi wanafuga kwenye keyboard
2.Wengi wanafuga kuku ambao hats akiuza hawezi kulipa ada ya shule ya Kata.
3.Wewe ukiamua ufugaji wa kibiashara hakuna kisicholipa,Kwanza kuku chotara chakula chao sio complicated na unaweza kuuza mayai yao kwa bei ya kuku wa kisasa na ukapata faida.Kwani hao chotara ukiwa na uwezo wa kuzalisha trei 50 kwa siku na ukauza 7000@ watu hawatanunua?.Fuga bata 2000 then uza mayai yake kila moja Tsh 200 uone watu kama hawatanunua.Tatizo tunauza mayai ya chotara bei kubwa kupita maelezo
 
Mkuu umenikumbusha kuna makala moja niliisoma ya Mfugaji mmoja nchi za west Africa, anasema wafugaji wengi hatuko serious. Akasema MTU ana kuku 1000 halafu anajiita Mfugaji?(of course nili shtuka). Akasema ukiwa na idadi hiyo na ukapata soko La uhakika La kuku 100 kila siku maana yake wewe una mzigo wa siku kumi tu. Nikajifunza kitu hapo, japo kufika huko inahitaji kujitoa kwa nguvu na Mali ila ni kitu kinacho wezekana.
 
Leta mahesabu na si mipasho. mbona wagumu wana wa kuelewa?

Mahesabu mahesabu hiwezi kaa kimya.

Mipasjo ni kule facebook.

Njoo na Document za kuniabisha mimi.

Huwezi niabisha kwa maneno matupu.
.Upo?
Jamaa mbishi kweli!!haujafikia level ya ufugaji mkubwa bado unaunga unga.Ukipewa tenda ya kusuply kuku 1000 hao unaofuga wewe kwa wiki utaweza?Tukubali ufugaji wetu si wa kutufanya tuwe na mafanikio Bali wa kula/kuvaa na kulipa ada ya shule ya Kata.Ila walioserious wako mbali,Ufugaji/kilimo si cha watu mafukara.
 
Mkuu umenikumbusha kuna makala moja niliisoma ya Mfugaji mmoja nchi za west Africa, anasema wafugaji wengi hatuko serious. Akasema MTU ana kuku 1000 halafu anajiita Mfugaji?(of course nili shtuka). Akasema ukiwa na idadi hiyo na ukapata soko La uhakika La kuku 100 kila siku maana yake wewe una mzigo wa siku kumi tu. Nikajifunza kitu hapo, japo kufika huko inahitaji kujitoa kwa nguvu na Mali ila ni kitu kinacho wezekana.
Ukiwa na kuku wengi hata ukipata faida ya 2000 kila kuku hakuna ulichopoteza.mfano Mimi Nina majogoo 5,wewe una 5000.bei ya jogoo in 10000@,je nani atapiga pesa?je ni nani akitaka kuanzisha darasa LA ujasiriamali atapata vichwa vya kuvitandika?etc.Humu MTU Mwaka huu utamkuta na layer 300 basi atakutambia mpaka unamuogopa.
 
Ni kweli aisee. Hili ni funzo kwa wote tunao Fanya ufugaji. Na tukiweza kufika huko tutaona matunda ya ufugaji.
 
Ni kweli aisee. Hili ni funzo kwa wote tunao Fanya ufugaji. Na tukiweza kufika huko tutaona matunda ya ufugaji.
Braza ukitaka kufuga kusanya mtaji hata kama ni miaka 10,then anza kidogo uukiweza ongeza batch mpaka mwisho.Nunua/Lima mahindi,soya,mtama,alizeti kwa ajiri ya kuku wako tu.Ndivyo wanavyofanya wakulima wa kizungu.Ukiwa na njaa huwezi nunulia kuku wako pumba/dagaa
 
Wana kosa vitu vingi sana kuanzia Production ya mayai hadi ukuaji na kadhalika.

Wewe fanya uchunguzi mbona rahisi sana?

Zunguka maeneo ya mjini tembelea viwanda vinayo tumia mayai pia tembelea vibanda vya Chips, ukitoka hapoa nenda Hoteli kubwa pia nenda Sokoni.Pia tembelea Sherehe kubwa kubwa zote kama Harusi au semina sijui angalia aina ya kuku wanao liwa pale na kwa nini

Kuku kienyeji na mayai ni kwa home Consuptions.

Tena kwa kiwango kidogo sana.
Ni kweli kabisa Mimi nafuga saso ukimchinja unapata 2 - 3 kg nauza 25,000 lakini mpaka upate mteja ni issue.
 
Nadhani huyu jamaa ndo katoka shule na ana mahesabu ya kishuleshule,hali halisi haipo hivyo,mayai na kuku wa kienyeji wanabiashara kubwa sana tofauti na anavyoeleza,pia wanagharama ndogo sana kuwahudumia,
Mtake radhi mtoa mada tafadhari.
 
point dhaifu bro, ina depend na how una manage kazi yako, chotara ama kuloier wanaweza kuwa biashara tena yenye tija kubwa sana, na layers ama broilers wanaweza pia kuwa biashara nzuri, kitu kuitwa biashara inategemea na how una manage kazi yako sokoni.
point ya ku note, wewe kama ni mjasilia mali, usitegemee tu kuku eti ndio iwe njia yako pekee ya kukupatia kipato, kuwa na vyanzo vingi vya ela, kuwa na shughuri zaidi ya moja..unaweza sema broilers ndio kuku wazuri kufuga ila soko likiyumba utaona ugumu na hasara yake, ama layers wakitaga chini ya kiwango utaona radha ya hasara inavyokuwa, mimi nahisi labda wewe passion yako ni layers na broilers but wapo watu wanafanya chotara au kuloiers na wana enjoy kipato chao,
fuga kuku, ingia shambani lima, nenda dukani weka bidhaa mpya, fuga samaki nk sio unakaa na biashara moja tu..hutoendelea kamwe.
nimeandika kwa kifupi ila kama hujaridhika naweza kukupa mfano wa mfugaji wa kuku chotara 500 jinsi alivyokuwa successful kuliko mfugaji wa layers 500, ndio utajua kuwa biashara ni namna unavyo manage kazi yako,
bon chance!
Income streams nyingi.
Point noted mdau. [emoji120]
 
Leta mahesabu na si mipasho. mbona wagumu wana wa kuelewa?

Mahesabu mahesabu hiwezi kaa kimya.

Mipasjo ni kule facebook.

Njoo na Document za kuniabisha mimi.

Huwezi niabisha kwa maneno matupu.
.Upo?
Naomba kujifunza kwako kuhusu biashara ya layers na broilers kimahesabu! Na kama umeshafuga chotara uka prove loose pia naomba testimony yako biashara ilikwendaje (kimahesabu kama unavyo sisitiza). Nitashukuru nikipata mrejesho.
 
Kwanza ieleweke kwamba kuku chotara ni kwa ajili ya kupunguza umasikini na si kwa ajili ya Biashara.

Ukisoma hata andiko la ku introduce Kuroiler kule Uganda ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na umasikini kule Uganda.

KWA NINI SIO MBEGU ZA BIASHARA?
1. kwanza ni performance yao kwenye utagaji kuwa ni ndogo kiasi kwamba haowezi kidhi demand.

2. Ukuaji wao pia.

3. Ni breeds ambazo hazitaki kuzaliana na hapo ndo kosa kubwa sana linapo fanyika.

COMMERCIA BREEDS.

1. Layers

2. Broiler.

Hawa ndo kuku wa biashara achana na story sijui za.kubeba tenga la kuku kutoka vijijini kuja sokoni.

Layers ni kuku wa mayai na mayai yao ndo the most consumed mjini. Na production yao iko juu pia.
Mayai ya layers yanatumika sehemu zifuatazo.

1. Bekary au watengeneza keki.

2. Chips

3. Viwandani.

4. Mahotelini.

Usitarajie eti kiwanda cha keki kiahize mayai ya kienyeji kutengenezea keki never.

BROILER- Hawa ndo kuku wenye soko kubwa na wanao liwa kwa wingi sana.

Kama unataka kupunguza umasikini fuga Kuku chotara ila kama unataka kufanya biashara fuga kuku wa mayai au wa nyama wa kisasa.
hakuna ukweli wowote kwenye thread yako mkuu,acha kupotosha watu!watu tunafuga chotara na tunapata faida lukuki...,
 
Achana na huyo mpuuzi mimi nauza mayai ya curoiler trey 1=18000/=tsh na oda zimenizidia huyo hajui kitu mwanafunzi tu huyo
Mkuu unatumia majogoo wa nje?( Yaani umri tofauti na hao tetea )
Maana nikifuga Sasso ila matetea walipofika umri wa kutaga changamoto ikawa majogoo walikuwa Bado hawajapevuka
Mie mayai nauza kama ya kienyeji tu kwani hao kuloirer wanapandwa na jogoo wa kienyeji ambaye ni kuchi. Halafu natumia kuku wa kienyeji pia kuatamia ndo nimepata vifaranga 10 na wengine 5 wanaatamia mayai ya kuloire
Kuchi ni aina gani?
 
Habar wana JF?

mfugaji naomba ushauri wako juu ya wazo langu la kujiali kupitia ufugaji

Nataka kufuga kuku chotara aina ya Kuroiler kwa lengo la kuwauza nyama wakiwa na miezi 5

Lakini nimeona nikitegemea kununua vifaranga faida itakua ndogo, je changamoto za utotoreshaji wa vifaranga zipo vp? Kuanzia kuwatunza kuku wazazi nk....

Au ninunue vifaranga?
Kwa uzoefu wangu ni bora ununue vifaranga!
Kutotolesha ni ishu kwasababu sio mayai yote yatatotolewa vizuri labda mayai uwe unazalisha mwenyewe kiasi kwamba utakuwa na uhakika!

Halafu watotoleshaji wanahesabu yai sio kifaranga! Kwahiyo yai lisipototolewa hasara yako
 
Last .

Nisha sema leta ushahidi kupingana na hii post.

Unaelewa maana ya ushahidi? Kama ni story basi endelea wewe.

Ila ukileta Ushahidi basi nishutue au ni tag nije kujibu hoja yako.

Kwa maneno naishia hapa

Chasha, natambua wewe ni mfugaji mzuri wa kuku chotara kupitia taarifa zako hapa jukwaani. Naelewa unazungumza kwa uzoefu.

Katika hili, nitakuwa tofauti na wewe kidogo. Biashara huendana na mazingira yanayokuzunguka. Kuna mazingira ambayo broiler hawawajui hata kidogo, hususani miji midogo, ambapo maeneo kama haya, yanayotegemea kuku wa kienyeji tu, kuku chotara Ukiwafuga kibiashara watakulipa sana.

Mbali na mazingira, mikakati ya biashara hutofautiana mtu mmoja hadi mwingine. Tatizo ninaloliona hapa umezungumza kwa ujumla sana, pengine kwa kudhani biashara ya ikileta matokeo mabaya kwako basi itakuwa kwa watu wote. Hapana. Na hii inakuja kwa kujiamini kupita kiasi.

Nadhani ingetosha tu kutia uzoefu wako kuwa kwa upande wako, biashara ya kuku chotara imeenda ndivyo sivyo na sio kutamani uzoefu wako uwe princple kwa wote.
 
Back
Top Bottom