Hipolitetz
Member
- Nov 21, 2016
- 44
- 36
Sasso wanaanza kutaga wakiwa na umr gani?Mkuu unatumia majogoo wa nje?( Yaani umri tofauti na hao tetea )
Maana nikifuga Sasso ila matetea walipofika umri wa kutaga changamoto ikawa majogoo walikuwa Bado hawajapevuka
Kuchi ni aina gani?
Miezi 7Sasso wanaanza kutaga wakiwa na umr gani?
Kwa nini usiiwakilishe wewe?.acha ujuha wa kutafuta sifa za kijinga humu. Unaweza anzisha Thread yako na ukaelezea.Mleta mada ni aina ya watu wanaoamini anajua kila kitu, hayupo tayari kujifunza kwa wengine lakini pia kufunza wengine, kwa ufupi mbinafsi. Au pengine tusimalize maneno, hajui namna ya kufikisha ujumbe. Moja kati ya hayo linamhusu.
Ukisoma mada yake utaona anapoint fulani, ila hajaiwakilisha kifasaha, ameandikaa juu juu tu kwa kujiamini yeye anajua na wengine wote hamjui kitu na hayupo tayari kufafanua.
Huyu ni kuachana naye tu, binafsi sina uzoefu mkubwa wa ufugaji lakini ninashauri watanzania kwny mijadala yetu tujiepushe sana kutoka nje ya mada. Yaani usipoteze muda nje ya mada kama ninavyofanya hapa. Ongelea Kuku, tetea upande unaouamini kwa hoja imara na vielelezo halisi, hiyo ni faida sana kwa wote.
Siku njema
Consumption yao ikoje? Angalia Consumption power.Chasha, natambua wewe ni mfugaji mzuri wa kuku chotara kupitia taarifa zako hapa jukwaani. Naelewa unazungumza kwa uzoefu.
Katika hili, nitakuwa tofauti na wewe kidogo. Biashara huendana na mazingira yanayokuzunguka. Kuna mazingira ambayo broiler hawawajui hata kidogo, hususani miji midogo, ambapo maeneo kama haya, yanayotegemea kuku wa kienyeji tu, kuku chotara Ukiwafuga kibiashara watakulipa sana.
Mbali na mazingira, mikakati ya biashara hutofautiana mtu mmoja hadi mwingine. Tatizo ninaloliona hapa umezungumza kwa ujumla sana, pengine kwa kudhani biashara ya ikileta matokeo mabaya kwako basi itakuwa kwa watu wote. Hapana. Na hii inakuja kwa kujiamini kupita kiasi.
Nadhani ingetosha tu kutia uzoefu wako kuwa kwa upande wako, biashara ya kuku chotara imeenda ndivyo sivyo na sio kutamani uzoefu wako uwe princple kwa wote.
Kula like mkuu.. Umemaliza kila kituChasha, natambua wewe ni mfugaji mzuri wa kuku chotara kupitia taarifa zako hapa jukwaani. Naelewa unazungumza kwa uzoefu.
Katika hili, nitakuwa tofauti na wewe kidogo. Biashara huendana na mazingira yanayokuzunguka. Kuna mazingira ambayo broiler hawawajui hata kidogo, hususani miji midogo, ambapo maeneo kama haya, yanayotegemea kuku wa kienyeji tu, kuku chotara Ukiwafuga kibiashara watakulipa sana.
Mbali na mazingira, mikakati ya biashara hutofautiana mtu mmoja hadi mwingine. Tatizo ninaloliona hapa umezungumza kwa ujumla sana, pengine kwa kudhani biashara ya ikileta matokeo mabaya kwako basi itakuwa kwa watu wote. Hapana. Na hii inakuja kwa kujiamini kupita kiasi.
Nadhani ingetosha tu kutia uzoefu wako kuwa kwa upande wako, biashara ya kuku chotara imeenda ndivyo sivyo na sio kutamani uzoefu wako uwe princple kwa wote.
Kweli kbs my brotherBiashara ya kukusaidia ku maintain Umaskini
Wana kosa vitu vingi sana kuanzia Production ya mayai hadi ukuaji na kadhalika.
Wewe fanya uchunguzi mbona rahisi sana?
Zunguka maeneo ya mjini tembelea viwanda vinayo tumia mayai pia tembelea vibanda vya Chips, ukitoka hapoa nenda Hoteli kubwa pia nenda Sokoni.Pia tembelea Sherehe kubwa kubwa zote kama Harusi au semina sijui angalia aina ya kuku wanao liwa pale na kwa nini
Kuku kienyeji na mayai ni kwa home Consuptions.
Tena kwa kiwango kidogo sana.
Huu ndio ukweliunajua kufuga ni passion...
mimi naona yeye passion yake ni layers na broilers, wapo wengine passion yao ni kufuga chotara, kanga, au bata
kuna facts nyingi sana zinazomfanya mtu afuge kitu flani, ila mjasilia mali siku zote huwa ni opportunistic, huwa tunaangalia soko lako linataka nini ndio unafanya..facts zipo nyingi sana, ila kama kitu hukipendi usikiponde kwa sbb watu wanafanikiwa kwa hichohicho unachokiponda..
tubadilike wa bongo sio tunaponda tu,