Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za watoto za mtumba na huna Mtaji nafasi yako hii

Demimi

Member
Joined
Feb 11, 2021
Posts
26
Reaction score
30
KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini.

WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja.

Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500 niwewe utaamua uuzeje

Fursa zingine zitazokuepo baadae ni pamoja na Sidia. Sandles kuwa kukopwa ukauze.

Usipouza unaruhusiwa kurudisha NOTE. Hakuna aliewahi kutouza Kati wa nilio nao. Unaruhusiwa kubabadilisha nguo, kwa mfano tunakupa nguo 50 ukauze wiki 1 unauza 30 zizobaki unabadilisha unaongeza zinakua Tena 50, tunatoa nguo kutokana na mauzo yako mwisho ni pc 1000.

NI MUDA WA VIJANA WANAOTAMANI KUFANIKIWA NA HAWANA MTAJI 🌹

Kama una mdogo wako ,rafiki, ambae unaempenda na Hana kazi na ajui afanye Nini Mtumie Taarifa hii.

Faida ya hii ni kwamba unatumia Nguvu zako kutafuta mtaji wa pesa.

Vigezo ni uwe unapenda kujituma tu.

Nina baadhi ya wateja wameshaanza kuuza had sketi 100 kwa wiki moja.

IMG-20220313-WA0082.jpg

IMG-20220313-WA0081.jpg

IMG-20220313-WA0083.jpg

IMG-20220313-WA0080.jpg

IMG-20220313-WA0055.jpg

IMG-20220313-WA0025.jpg

IMG-20220313-WA0027.jpg

IMG-20220313-WA0006.jpg

IMG-20220313-WA0007.jpg

IMG-20220313-WA0002.jpg

.
 
Hongera kwa kutoa msaada hakika utasaidia wengi mno dada hongera kwa hili na mungu akubariki mara dufu.
 
Hongera sana kwa kujali shida za watu maana,kuna vjana wengi wapo mtaani tu ,na hawana shughuli ya kufanya ,wanabaki kuomba omba waungiwe hata 200.
 
KIJANA MTAFUTAJI : Kama unatamani kufanya Biashara za Skert za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini..

WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU... UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja ...

Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500 .. niwewe utaamua uuzeje

Fursa zingine zitazokuepo baadae ni pamoja na Sidia.. Sandles kuwa kukopwa ukauze

Usipouza unaruhusiwa kurudisha NOTE. Hakuna aliewahi kutouza Kati wa nilio nao. Unaruhusiwa kubabadilisha nguo ... kwa mfano tunakupa nguo 50 ukauze wiki 1 unauza 30 zizobaki unabadilisha unaongeza zinakua Tena 50 .. tunatoa nguo kutokana na mauzo yako mwisho ni pc 1000

NI MUDA WA VIJANA WANAOTAMANI KUFANIKIWA NA HAWANA MTAJI [emoji257]

Kama una mdogo wako ,rafiki, ambae unaempenda na Hana kazi na ajui afanye Nini Mtumie Taarifa hii

Faida ya hii ni kwamba unatumia Nguvu zako kutafuta mtaji wa pesa ..

Vigezo ni uwe unapenda kujituma tu.

Nina baadhi ya wateja wameshaanza kuuza had sketi 100 kwa wiki moja

View attachment 2149048

View attachment 2149049

View attachment 2149050

View attachment 2149051

View attachment 2149052

View attachment 2149053

View attachment 2149054

View attachment 2149055

View attachment 2149056

View attachment 2149057
Vipi mkuu cash nikija nayo ,unaweza kuniuzia hizo skert za mtumba location ya ofisi mnapatikana wapi ??
 
Vijana wa sasa wanapenda kuketi ofisini ila kwa atakaye jitokeza mafanikio yapo mlangoni

ILA UMELIPIA TANGAZO???
 
KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini.

WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja.

Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500 niwewe utaamua uuzeje

Fursa zingine zitazokuepo baadae ni pamoja na Sidia. Sandles kuwa kukopwa ukauze

Usipouza unaruhusiwa kurudisha NOTE. Hakuna aliewahi kutouza Kati wa nilio nao. Unaruhusiwa kubabadilisha nguo, kwa mfano tunakupa nguo 50 ukauze wiki 1 unauza 30 zizobaki unabadilisha unaongeza zinakua Tena 50, tunatoa nguo kutokana na mauzo yako mwisho ni pc 1000

NI MUDA WA VIJANA WANAOTAMANI KUFANIKIWA NA HAWANA MTAJI 🌹

Kama una mdogo wako ,rafiki, ambae unaempenda na Hana kazi na ajui afanye Nini Mtumie Taarifa hii

Faida ya hii ni kwamba unatumia Nguvu zako kutafuta mtaji wa pesa

Vigezo ni uwe unapenda kujituma tu.

Nina baadhi ya wateja wameshaanza kuuza had sketi 100 kwa wiki moja

View attachment 2149048
View attachment 2149049
View attachment 2149050
View attachment 2149051
View attachment 2149052
View attachment 2149053
View attachment 2149054
View attachment 2149055
View attachment 2149056
View attachment 2149057
Ujaweka no ya whasapp
 
Mkuu hii offer bado ipo??
 
Habari

Naomba kuuliza wapi nitapata mali safi nzuri za mtumba beli grade 1 za mtumba

Tafadhali nielekeze maeneo yapo na wapi niende nahitaji nianze biashara ya pochi

Asante
 
Back
Top Bottom