Kasema bei rahisi, wewe mbona una taja mamilioni mengiBei rahisi kuanzia milioni kumi na ngapi mkuu
Unataka iwe sh ngapi, laki 3 au bei ya mfuko wa cement!? 🤣Kasema bei rahisi, wewe mbona una taja mamilioni mengi
Ni shilingi milioni 10 tu.Bei rahisi kuanzia milioni kumi na ngapi mkuu
Hii bei yake inaanzia tarakimu 9. Sasa hapo urahisi inategemea mfuko wakoLOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN
CALL US +255624004650
View attachment 3329988View attachment 3329990View attachment 3329993View attachment 3329994
Bei rahisi ndio shilingi ngapi ndugu? Tangazo lako bado halijakamilika. Ungeweka na gharama kabisa. Mfano kwa ukubwa wa plot ulioweka mfano hapa inaweza kugharimu kiasi gani?LOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN
CALL US +255624004650
View attachment 3329988View attachment 3329990View attachment 3329993View attachment 3329994
Ashushe wahuni nasi tumilikiUnataka iwe sh ngapi, laki 3 au bei ya mfuko wa cement!? 🤣