Kama unaujua mpira vizuri, historia na positioning, ebu chagua viungo watatu bora kutoka katika picha hii

Mpira aliocheza Makelele Madrid wa kumwacha kwenye tatu bora sio kweli hata alivyokuja Chelsea aliuwasha sana huko Madrid walishindana aongezewe mshahara kidogo tu waligoma ilipelekea kocha kusema ukweli sio kosa lake kumuacha aondoke maana ikawa kati hawana watu kabisaa.
 
💯💯
 
Ukimuona Seerdorf na Fernando Redondo hauwezi kuwaacha sehemu yeyote wote wamecheza Madrid kwa vipindi tofauti na kuhamia AC Milan...
Redondo anauzwa ili kumpisha Zidane washabiki walienda kuzuia airport asiondoke aisee kocha alikua anawaambia wachezaji wa Madrid ukiona hesabu za mpira zimekataa mpasie Redondo ata akiwa ndani ya sita yake utaanza upya..
 
Ile madrid ya redondo na wakina hiero ilikuwwa ya moto aisee
 
Umenikumbusha enzi za Makelele Row pale Real Madrid
 
Umenikumbusha enzi za Makelele Row pale Real Madrid
Kama utaikumbuka mechi moja Redondo alimzunguka beki wa Manchester pale pale kwa malkia alitoa pasi ya goli kwa Raul ila ilikua inazunguzwa sana ile chenga yake Redondo ambae alikataa kupunguza nywere kocha akumuita kikosi cha Argentina kwa sababu hiyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…